Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,951
- 6,624
Zingiziwa,uko Chanika weweHuku Zingiziwa ni nuru kama tupo peponi kwa Allah
Ah, umeme umerudi.
Aisee kumbe wewe wa kishua unakaa michael chainJe huko sehemu zingine za Dar vipi?
Umeme wa Tanesco upo?
Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
Jana nimeota njagu watu wametamka kunukamata.
Ndiyo nimeota, njagu ( askari mgambo) wanataka kunukamata halafu wakaniacha.
Wanaambizana: "Yule mtoto wa Nyerere." "Yule mtoto wa Mkapa."
Ndio jambo ambalo halinipendezi.
Kwa sababu mtu kama mimi sipaswi kusumvuliwa na njagu, especially kama sijafanya kosa.
Lakini hawa walinzi wangu ,too busy enjoying themselves with their Rolls Royces.
Nyerere Hydroelectric power @$!?#Je huko sehemu zingine za Dar vipi?
Umeme wa Tanesco upo?
Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
Ile post uliweka hapa kutoka kule facebook mbona wamefutaJana nimeota njagu watu wametamka kunukamata.
Ndiyo nimeota, njagu ( askari mgambo) wanataka kunukamata halafu wakaniacha.
Wanaambizana: "Yule mtoto wa Nyerere." "Yule mtoto wa Mkapa."
Ndio jambo ambalo halinipendezi.
Kwa sababu mtu kama mimi sipaswi kusumvuliwa na njagu, especially kama sijafanya kosa.
Lakini hawa walinzi wangu ,too busy enjoying themselves with their Rolls Royces.
Wamefuta,of course.Ile post uliweka hapa kutoka kule facebook mbona wamefuta
ok.🐒Je huko sehemu zingine za Dar vipi?
Umeme wa Tanesco upo?
Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
Habari, Ndugu Mteja,Je huko sehemu zingine za Dar vipi?