Dah! Wanaume wa Dar watawaiga wake zao.
Umewahi kuona makalio yenu yalivyo kwa ulaji wenu wa mayai ya kisasa na chips?Kama wa mikoani mnavyowaiga wake zenu kunenepesha makalio.
Umewahi kuona makalio yenu yalivyo kwa ulaji wenu wa mayai ya kisasa na chips?
Hahahha basi acha hapo usiendelee naona unataka hatari.Mkuu mbona unataka tuandikie mate na wino upo.Yale makalio ya ********* unayaonaje?
Taasisi yenu ya wanaonyimwa unyumba bado ipo?Dah! Wanaume wa Dar watawaiga wake zao.
Ipo usukumani sio kwa wanaume.Taasisi yenu ya wanaonyimwa unyumba bado ipo?
Kwahiyo wasukuma ni mabinti?Ipo usukumani sio kwa wanaume.