Mkoa wenye watu wachache kabisa ni mkoa wa Njombe...A mikoa Kumi yenye watu wachache
1mpaka 5
Itakuwa inatoka Pemba na Unguja
Arusha hawazaliani hovyo japo wana uchumi mzuri.Niko paleee nawasubiri watu wa R chuga waje
Kwetu hatuzaliani hovyo kama panya. Watoto wachache wapate elimu na maisha bora MaeKwetu na Arusha hawakuhesabu
Nyaruyeye kuna Watu wengi? Labda Nyarugusu.Bila kusahau Nyarugusu, Nyaruyeye, Lwamgasa na Bukoli
Ok nilipita hapo mwaka JanaKwa sasa hivi Nyaruyeye kuna watu wengi sana
Mwaka Jana Ila nilipita tu nikitokea NyarugusuKwa mara ya mwisho ulifika Nyaruyeye lini ?
Hivi wamasai kuvaa rubega(mgololi) ndio ujinga? Kwa sababu wengi mnapotosha.Na huko kwa wenye kuzaa watoto wachache ndiko wanakoongoza kwa ujinga kama umasaini huko.
Siioni ile mikoa yenye mademu wakali;Ifuatayo ni mikoa mitano ( top five) yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar es Salaam 5,383728
2. Mwanza. 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4. Morogoro. 3,197,104
5. Dodoma. 3,088,625
Aidha, hii ndio mikoa kumi yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar e Salaam 5,383,728
2. Mwanza 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4.Morogoro 3,197,104
5. Dodoma 3,088,625
6. Kagera 2,989,299
7. Geita 2,977,608
8. Tanga 2,615,597
9. Kigoma 2,470,967
10.Mara. 2,356,255
Majiji hayawezi kuwa karibu lazima yawe mbalimbali so dar na moro ni karibu sanaaNi kipi kinasababisha Morogoro isiwe jiji??
Mbona Tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za Tanga mijini?
Na Mbeya nayooo!![emoji848][emoji848]
Arusha watu wanaishi sana Arusha mijini ila kuliko baki ni mbuga na hifadhi zisizo na idadi. Mikoa mengine kuna vimiji vingi na vijiji badala ya mapori.Arusha haina watu kabisa ,
Au hawakuhesabu vizuri?
Unabishana na takwimu wewe mpanda fisi?Hii chai ghorofa Tanga litoke wapi ?
Kuwa na watu wengi na huu umasikini wa nchi hii ni sifa na kitu cha kujivunia?Arusha haina watu kabisa ,
Au hawakuhesabu vizuri?
Sehemu yoyote yenye watu waelewa kwa dunia ya sasa hawazai tu kama panyaNiko paleee nawasubiri watu wa R chuga waje
Jirani yako alitoa takwimu zakoata mimi nipo Mwanza sikuhesabiwa pamoja na wana kibao tu je watu wangapi hawakuhesabiwa Mwanza usiangalie tu upande mmoja, pia nadhani walifanya estimation pamoja na interview kujua wakazi kwenye hizo kaya.