Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,144
- 19,690
Niko paleee nawasubiri watu wa R chuga waje
Niko paleee nawasubiri watu wa R chuga waje
Shughuli za Arusha na Yale majengo ni kwa ajili ya wazungu wanaokuja na kuondoka ila watanzania ni wachache tangu kitambo..na hata wakazi wengi wa Arusha ni watu wa KilimanjaroArusha haina watu kabisa ,
Au hawakuhesabu vizuri?
Aika ArawaShughuli za Arusha na Yale majengo ni kwa ajili ya wazungu wanaokuja na kuondoka ila watanzania ni wachache tangu kitambo..na hata wakazi wengi wa Arusha ni watu wa Kilimanjaro
..vijana wengi wa hapo maskani yao ni Nairobi na Dar kwa mbali
Tanga tumepigwa!
Ulijificha wapi? Au ndio wale ambao mnataka mlipwe ndio muhesabiwe?ata mimi nipo Mwanza sikuhesabiwa pamoja na wana kibao tu je watu wangapi hawakuhesabiwa Mwanza usiangalie tu upande mmoja, pia nadhani walifanya estimation pamoja na interview kujua wakazi kwenye hizo kaya.
Chanzo hicho hicho unachokinukuu ndio mimi nimekinukuuHii chai ghorofa Tanga litoke wapi ?
Uliza ishu za kimaendeleo kama shule,hospitali,kaya zenye vyoo bora,miundombinu ya barabara,maji safi na umeme ndio utachekaSis watu wa Mkoa wa kitalii
Tunazaa kitalamu
Hatuzai tuuu ilimradii
Two kids per family, or three
Sasa ndugu zangu akina ngosha na Watani zetu wagogo na nyumba Zak kama chanja la kuchechulia mahindra na wengine wanazaa kama kuku.
Huku kwetu mkoa wa Kitaliii hapanaaaaaaaaaaaaaaa
Arusha safiiii
hii report hizi ni hatari yaani idadi ya magrofa ya Mwanza uzidishe mara mbili ndio unapata idadi ya magorofa ya Tanga😂😂😂😂Hii chai ghorofa Tanga litoke wapi ?
Umewahi kufika tanga?Hii chai ghorofa Tanga litoke wapi ?
Umeshafika morogoro mjini au uliishia msamvu tu,kuna hadi nyumba za udongo,Tanga kuzuri sana acha kabisaNi kipi kinasababisha Morogoro isiwe jiji??
Mbona Tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za Tanga mijini?
Na Mbeya nayooo!!🤔🤔
Arusha maisha magumu sana aisee, lazima watu wapungue hukoIfuatayo ni mikoa mitano ( top five) yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar es Salaam 5,383728
2. Mwanza. 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4. Morogoro. 3,197,104
5. Dodoma. 3,088,625
Aidha, hii ndio mikoa kumi yenye watu wengi zaidi nchini Tanzania
1. Dar e Salaam 5,383,728
2. Mwanza 3,699,872
3.Tabora. 3,391,679
4.Morogoro 3,197,104
5. Dodoma 3,088,625
6. Kagera 2,989,299
7. Geita 2,977,608
8. Tanga 2,615,597
9. Kigoma 2,470,967
10.Mara. 2,356,255
Hapo Ngamiani kati kuna ghorofa ngapi ? Nenda Raskazone kuna ghorofa pale ? Kwa akili yako wewe unadhani siijui Tanga ? Napajua sana tu nimelala Dolphini, Mtendele n.k. leo unasema siijui Tanga ?Umewahi kufika tanga?
Hilo ndio tatizo la waswahili wengi
Bila kusahau Nyarugusu, Nyaruyeye, Lwamgasa na BukoliGeita kuna sehemu inaitwa Katoro na Buseresere watu ni wengi sana hayo maeneo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Acha ushamba wa elimu ya uraia.Ni kipi kinasababisha Morogoro isiwe jiji??
Mbona Tanga imekuwa jiji kitambo Sana! au sababu hakuna barabara kama za Tanga mijini?
Na Mbeya nayooo!!🤔🤔