tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.
I belive from practical experience that Regional Commisioners are celebrative Redundunt figures. See what has happened from election in October last year, where more that eight regions are running without sitting regional commisioners. To add more regions I found that absolutely absurd.Huu ni mojawapo ya mambo ambayo hayaingii akilini.. hivi ni lini ardhi ya Tanzania iliongezeka? wanachofanya ni kuigawa ardhi ile ile ndogo kwenye mikoa kuficha kushindwa kwao kuendeleeza mikoa iliyopo as if kwa kuongeza mikoa zaidi ndivyo watabadilisha mikoa iliyopo! It makes absolutely no sense.
Huu ni mojawapo ya mambo ambayo hayaingii akilini.. hivi ni lini ardhi ya Tanzania iliongezeka? wanachofanya ni kuigawa ardhi ile ile ndogo kwenye mikoa kuficha kushindwa kwao kuendeleeza mikoa iliyopo as if kwa kuongeza mikoa zaidi ndivyo watabadilisha mikoa iliyopo! It makes absolutely no sense.
Maana ya mikoa/wilaya adhima yake nikuwasogezea wananchi huduma karibu na wala si kuteua mkuu wa mkoa nk. Enzi zile kwanini mtu anayetaka passport aliyoko mpakani mwa ngara aende DSM arudi ndo aende rwanda?
Ama mwalimu kule kwa gegemkeni kwanini asafiri km 700 kwenda mkoani kuonana na mkurungezi wake wa elimu? tatizo watu wanaupotosha ukweli na hali halisi.
Harafu unapofanya mikoa mingi ama wilaya mingi ndo maendeleo yanasambaa kote kwa uwiano, kwanini uwe na magorofa yaliyoenda juu pale dsm wakati ukikatiza dakika 15 tu unakutana na nyumba za msonge za kufa mtu? kwangu mimi kuwa na wilaya mingi naa mikoa mingi ndo njia sahihi ya ku decentralize maendeleo.
Harafu mkitoka hapo mtakuja kuhoji kwanini watu wanakimbilia mjini
Hivi wangapi wana access ni hili gazeti? Kwanza hata kwenye tovuti ya Utumishi halionekaniKwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.
Ningeshangilia kama ingetokea hapo kwenye red pakawa hivyo maana nimechoka kuishi katika li-nchi ambalo kila siku mabalaa yanaibuka...mara mafuta, oooh, ...sukari,...oooh, kagoda..., ohhh mgao wa umeme na taktk nyingi.....ikitokea nitahamia Jamhuri ya Kigoma haraka mno...sasa badala ya kutumia fedha kuanzisha ofisi mpya za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na kuajiri utitiririr wa watumishi, hizo pesa kwa nini zisiende kujenga shule,hospitals, barabara kwenye hayo maeneo ambayo hajafikiwa na hizo huduma??? watendaji wa serikali na wanaomshauri rais ifike wakati waangalie maamuzi yenye manufaa kwa taifa , haya mambo ya kuangalia ulaji kuna siku tutaambiwa rais atia saini kigoma kuwa nchi inayojitegemea!