Mikoa maskini zaidi yatajwa

Kila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
shinyanga nayo inakosa vipi? mana kule ndo kwenye ugumu halis wa maisha
 
Wacha kutafuta sympathique,kwani mbona likija jambo zuri kwa Kagera mnataka msemwe nyie tu? Kwann linapokuja jambo zuri husemi makabila mengine yaliyopo?
Sisi Kilimanjaro mbona hatuwabagui WApare? Nyie kwa Kilimanjaro Bado ni underdog kabisa
Mjue sis ni baba zenu,Sisi tunasoma na tunapiga uchumi,Kuna mahali nyie mnakwama mkae vizur na Sisi baba zenu tuwafundshe
 
Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Unavyowaona Wapemba wana mabiashara makubwa mikoa mbalimbali hasa Kariakoo huwezi dhani Pemba wengine hawana hata vyoo. Kuna Mhindi maskini bongo? Ila kwao India kuna maskini chungu nzima.

Umaskini wa eneo unaweza tokana na fursa ndogo zilizopo ila watu wake walewale wanaweza enda sehemu nyingine wakatajirika. Ndio maana Hyundai ilianzishwa na jamaa aliyetoroka North Korea na Hyundai kwa mwaka inatengeneza hela nyingi zaidi kuliko bajeti ya North Korea nzima.

Elon Musk alitoka South Africa kaenda Marekani sasa ni tajiri, Sergei Brin wazazi waliondoka Urusi wakaenda Marekani na sasa ni billionaire.
Wayahudi wana umiliki wa biashara kubwa na institutions duniani ila nchi yao inasaidiwa security package na Marekani.
 
Na hii ya mkoa Wenu kuwa na lishe duni nayo serikali iwaletee chakula?
 
Unaongelea Kilimanjaro ipi..kule si ndio njaa imetamalaki
Njaa IPI? Kilimanjaro umaskini ni 10% tu kwa mujibu WA NBS
Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora vijijini
Ni mkoa WA pili kwa watu wake kuwa na pato kubwa (individual per capital income)
Hâta wewe ukifika Kijij kimoja kimoja utaona Hali za wananchi wanapambana,makazi Safi huduma zote Safi I love Kilimanjaro
Mikoa yenye njaa ni HII
 
Wahaya ukiwaona mikoa mengine afu ukaenda kwao ukaona wanavyoishi utashangaa.. watu wa ajabu sana yaani
Alafu walkuwa wanaleta battle na Kilimanjaro
Kilimanjaro ni wasomi n'a Wana uchumi
Sasa elimu bila pesa inakuwa Haina maana
 
Wajifunze kwa Kilimanjaro,Licha ya kusoma lakini hawabagui kazi, Kilimanjaro ni kawaida kukuta MTU Ana degree lakini anamiliki restaurant ya supu kongoro ambayo kwa Siku inamuingizia faida ya 60000
Huyo utalingana NAE?
 
Hongereni Linddy!
 
Umeshafika misenyi,bukoba vijijini na karagwe?hayo nahekalu wapo ndugu huko na wastaafu pia wamo humo.
Ni Kweli lakini ratio ya Hao wenye maisha hayo dhidi ya wenye maisha duni ni ndogo that's why inakuwa maskini
Hâta marekan maskin wapo Ila wachache,virse VESA Kagera
Yaani wenye kipato Kagera ni wachache kuliko wasio Nacho
Hakuna ratio nzuri
Kilimanjaro ratio ya wenye nacho vs wasio Nacho ni ndogo i.e 10% tu ndio maskini
Alafu Kilimanjaro hâta maskini WA mwisho haishi nyumba ya nyasi,at least Kila MTU Kilimanjaro analala nyumba ilioezekwa kwa bati,makazi pia hupima umaskini WA kipato
 
Umeshafika hizo wilaya nilizotaja lakini,Karagwe hakuna nyumba ya nyasi wala udongo,vyakula vingi,kahawa na mahindi na maharage yanawapa hela sana
 
Mengi sana hayahesabiki,kuna mhaya mmoja kaburi lake tu unajenga chumba na sebule
Hao wenye maisha mazuri Kagera ni wachache kuliko wasio na maisha mazuri,that's why mnakuwa maskini
Hâta lishe kwa watoto Kagera ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…