Huko Kilimanjaro kuna nini, tutolee utapiamlo hapa.Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Hapo kuna kagera tu, mbona mikoa mingine hamuoni? Na kuna report za mikoa inayoongoza kwenye udumavu wa mwili na akili mbona hamuiweki humu.Jibu lako la kisomi lakini mbona wandegereko wazalamo wakwele ni masikini wengi wao tena kuliko wakaazi wa kagera?
Bro siku zote naandika uongo kumbe?Katika siku ulizo andika ukweli ni leo
Hata huko Kilimanjaro watu wamechoka sana,hakuna unafuu labda useme tunazidiana kwenye umaskini, hii nchi watu waliojikomboa toka kwenye umaskini ni asilimia ndogo sana.Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Watu wanahendekeza mihemiko za ukabila tu hawana hoja wala facts.Hata huko Kilimanjaro watu wamechoka sana,hakuna unafuu labda useme tunazidiana kwenye umaskini, hii nchi watu waliojikomboa toka kwenye umaskini ni asilimia ndogo sana.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hizo zafahamika..mshangao mkubwa ni Kagera kwa akina pesa ya mboga, wapenda kimalkia yaani Ishomirez😂Dodoma na kigoma hujaziona?
Chai saa 9 alasiri na chakula kikuu ni saa 2 hapo tayari miwiliAcha kuwasingizia Wazaramo na wakwere. Huo ni uongo. Huwa wanashindia mlo mmoja
Ni kweli wananchi wa Tabora, Kigoma na Singida hawapendi kazi ngumu?Uhalisia Kagera kuna maeneo wana maisha magumu sana.
Almost mikoa yote iliyotajwa wananchi wake hawapendi kazi ngumu;-
1.Kagera
2.Dodoma
3.Singida
4.Tabora
5.Kigoma
Tufanyeni kazi, hata kama we mkulima jitahidi kupanua kilimo chako. Kagera utakuta mtu anategemea mashina 10 ya migomba kwa mwaka mzima yamlishe na maharage saizi ya kiwanja cha ujenzi[emoji1787].
Ukija kwa wagogo akina Mpwayungu hao ndiyo duni kabisa kuanzia elimu, kilimo na hata ustawi wa jamii ni duni.
Tuchape kazi[emoji120][emoji120][emoji120]
NB: umasikini bado ni mkubwa mno Tanzania kwa ujumla serikali inapaswa kuwa na mikakati madhubuti ya kuondoa umasikini ikiwemo kuboresha bei za mazao ya biashara na kusaidia wakulima.
Kashata waitoe wapi huko Kisarawe, Maneromango, Chole hadi masaki ya kisarawe?Hiyo milo miwili na yenyewe milo basi, kipande cha mhogo kwa nazi au gahawa na kashata.
Ongeza Na kulipia tuition za kuongea kingereza ili waongee kingereza fasahaWanajenga DAR na ughaibuni
Yako mangapi?Mi pia nashangaa ila kuhusu majumba,kule migombani kuna mahekalu hatari utasema uko masaki
Mengi sana hayahesabiki,kuna mhaya mmoja kaburi lake tu unajenga chumba na sebuleYako mangapi?
Kaburi linaondoa umasikini mkuu😂 kusema hayahesabiki ni uwongo mkuu.Mengi sana hayahesabiki,kuna mhaya mmoja kaburi lake tu unajenga chumba na sebule
Waweke vigezo sasa maana wale jamaa wanalala sehwmu nzuri na wanakula vizuri,ardhi yao bado ina rutuba inastawisha mazao mengi,kama unalala pazuri,unakula vizuri,watoto wanasoma ??? Still uniite masikini?labda mchango wa Mkoa kitaifa kwa makusanyo ya kodiHayo mahekalu ndo yanafanya mkoa uwe tajiri? Hivi watu mnatumia nini kufikiri [emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ni kweli wanajenga kagera mahekalu saba ila majumba tu ya likizoMi pia nashangaa ila kuhusu majumba,kule migombani kuna mahekalu hatari utasema uko masaki
Umeshafika misenyi,bukoba vijijini na karagwe?hayo nahekalu wapo ndugu huko na wastaafu pia wamo humo.Ni kweli wanajenga kagera mahekalu saba ila majumba tu ya likizo
Wazungu wanaita vacation home
Rich Americans huwa na vacation homes vijijini ila hazitumiki muda wote
Wachaga wanajitahidi hurudi Krismasi kwa masses kwenda vacation homes zao hivyo kuongeza mzunguko wa pesa vijijini kwao kwa kununua mazao,mifugo na products za wafanyabiashara walioko kwenye vijiji kuzunguka vacation homes zao
kwa kagera hilo halipo ndio maana hata ukute hekalu kijijini vacation home ya mhaya akienda vacation kila kitu anabeba Supermarket jijini Dar nk akienda kuke ni self contained ha I nject hata mia kijijini sana sana atawakaribisha wale vitu alivyokuja navyo alivyonunua Supermarket alikotoka
Sababu haamini Products zinazozalishwa kagera sababu hazina nembo ya TBS au ISO certification ziwe ndizi au senene nk
Mbali sana mzee nauli Bk 85k na Mosh 25k...hatuwezi shindana.hamasa ifanyike hawa washenzi nao wawe wnaenda kula hii sikukuu ya wakatolik huko kwao kama Wa mangi wanavyofanya