Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

mbeya kuna makabila mangapiiiii

na je katika hayo makabila ni makabila mangapi yameenda shule na yapii hayajaenda shule pia katika hili usiangalia kabila moja angalia makabila yote kwa ujumlaa yanapatikana mbeya kishaa ujeee

utuambie jamii ngapi zimeenda shule usiliangalie kabila moja angalia makabila yote
Mbeya kuna makabila ambayo nadhani yanafikia 6 (Wanyakyusa, Wanyiha, wasafwa n.k.). Wanyakyusa ndo kabila kubwa na dominant katika mkoa wa Mbeya na wao ndio wanaobeba bendera ya mkoa mzima! Unapozungumzia Mbeya, unazungumzia Wanyakyusa kwa 75% labda na waliobaki ni makabila madogo madogo. Na unapotaja makabila 3 yenye wasomi wengi Tanzania hii ni Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa. Sio wasukuma wala Wajita!
 
Mk
Nilikuwa nasoma sehemu moja ya utafiti mikoa kumi iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

1.MKOA WA MARA huu umeshika nafasi ya kwanza ambao unapatikana kanda ya ziwa kwa kutoa wasomi wengi zaidi ambapo mkoa wa mara wanapatikana WAGITA,WAJALUO, WAKURYA NA WAZANAKI ambao kwa kiwango kikubwa ni jamii zilizoenda shule

2.KILIMANJARO huu ni mkoa unashika nafasi ya pili ambapo mkoa unapatikana kaskazini huu umeshikiliwa na makabila mawili makuu WACHAGA NA WAPARE ambao ni wasomi wa kiwango cha juu zaidi na wengi wameenda shule

3.MWANZA ni mkoa upo kanda ya ziwa ambao yanapatikana makabila matatu nayo wasukuma,wazinza na wakerewe ambapo hizi ni moja kati ya jamii zilizoenda shule sana ni jamii zilizotoa wasomi wengi zaidi

4.KAGERA ni mkoa ambao upo kanda ya ziwa yanapatikana makabila manne ambayo ni wangaza,wasubi,watusi wanyambo na wahaya huu ni mmoja kati ya mkoa unashika nafasi ya nne kwa kutoa wasomi wengi zaidi .

5.MBEYA huu ni mkoa unaopatikana kanda za juu kusini ambapo yanapatikana makabila makuu mawili wasafa na wanyakyusa pia mkoa huu umetoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wametokea unyakyusani

6.TABORA ni mkoa unaopatikana kanda ya kati ambapo wenyeji wa mkoa huu ni wanyamwezi, watusi, wasukuma pamoja na wamanyema
pia mkoa huu unashika nafasi ya sita kwa kutoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wanyamwezi

7.ARUSHA huu ni mkoa wanaopatikana wameru, waarusha, wamasai mkoa huu upo kanda ya kaskszini pia mkoa huu unasemekana kutoa wasomi wengi zaidi


8.RUVUMA ni mkoa ambao wenyeji wake ni wangoni,wamatego na wamatumbi huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wao wakionekana kutokea jamii za kingoni

9.IRINGA huu ni mkoa ambapo upo nyanda za juu kusini ambao wenyeji wake wengi ni wahehe,wabena, wanyarukoro,wakinga huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wakitokea jamii za wakinga na wabena

10.KIGOMA huu ni mkoa unaoshika nafasi ya kumi ambapo wenyeji wa mkoa huu ni waha,wamanyema, wabwaliii, wabangubangu, watusi pia kigoma ni miongoni ya mikoa iliyotoa wasomi wengi zaidi
Mkowa wa kwanza unatakiwa kuwa 1.Kilimanjaro 2. Kagera nyie wengine jiwekeni namba zenu
 
KATIKA JAMIII ZA WAHAYA WAZIBA PEKEE WANAOJITAMBUA NA NDO WASOMI WANAOIWAKILISHA KAGERA NDANI YA WILAYA MOJA

UKITOA WAZIBA HAO WALIOBAKIA HAMNA KITU SIO WANAWAKE SIO WANAUMEE...........

ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WAKIMALIZA DARASA LA SABA WANAKIMBIA SHULE WANAKIMBILIA MJINI KUJA KUPIGA BIASHARA YA PAPUCHI K VICHOCHORONI KWA HUKU DAR WAPO TEMEKE, BUGURUNI, MWANANYAMALA ETC, WENGINE NI WAUZA BAR,

WANAUME WENGINE WAKIMALIZA DARASA LA SABA WANAKIMBIAGA SHULE NA KUKIMBILIA MJINI KUFANYA KAZI ZA NDANI ......

KWA KIFUPI WAHAYA KIELIMU WAPO NYUMA SANA ILA KINACHOWABEBA WAONEKANE WAMESOMA NI KWA SABABU WAMEZUNGUKWA NA WAZIBA WA KIZIBA KWENGINE KOTE CHENGA
Wewe hata ulichokiabdika hujui chochote
 
Ila wajaluo wapo smart sana na huwa wana uwezo wa kukiongea kiingereza kwa usahihi kuliko jamii nyingi tu hapa bongo. Ila sijui kwa nini hawana influence kubwa bongo ukilinganisha na wenzao wa Kenya
Wajaluo akili mingi. Nani anabisha?
 
Some Notable persons from Musoma and Mara

Musoma has produced many famous Tanzanians. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the father of the nation and de facto leader of its people from 1954 when he became Chairman of Tanganyika African National Union (TANU), attended Mwisenge Primary School in Musoma. So did Justice Joseph Sinde Warioba, the country's former Prime Minister and Vice President. In fact the student list of Mwisenge reads like a 'who is who' in Tanzania's first Republic: Joseph Warioba Butiku, Col. Selemani Kitundu, Moses Mang'ombe, and others. Other senior politicians from Mara include late Bhoke Munanka, Stephen Wassira, late Abel Mwanga, Makongoro Nyerere, Nimrod Mkono, Dr.Steven Kebwe, Shyrose Bhanji,Prof Sospeter Muhongo, Vedastus Matayo Manynyi, Gaudencia Kabaka and Athony Mtaka.

Mara has also produced many top rank military leaders of the country, including three Chiefs of Defence Forces: Generals David Musuguri, Late Ernest Kyaro, and George Waitara. Other generals from Mara include Late Maj. General Mwita Marwa, Brg. Gen Christopher Gimonge, and Lt. Gen Sylvester Ryoba, Late Col. Dr M M Nsimba and Lt. Col. Dr. Josiah Mekere.

A list of retired Ambassadors who hail from Mara include late James Ndobho, Nimrod Lugoe and Charles Nyirabu (late) and Ambassador Joshua Opanga. Also on the list of notable retired Ambassadors to hail from Mara Region are the former lecturer at the University of Dar es Salaam, Ambassador Dr. Marwa Mwita Matiko (now Advocate of the High Court of Tanzania), Ambassador Mrs Nyasugara Kadege, Ambassador Dr. James Nzagi and Ambassador Professor Joram Mukama Biswaro who is now AU Chairperson's Representative in South Sudan.

Mara has also produced several top notch academics. The list of senior academicians from Mara include: Prof Dominic Kamabarage the Vice Chancellor for Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, Prof Majura Selekwa who heads the Mechatronics and Robotics Laboratories at North Dakota State University in USA, Transportation Engineering Professor Deo Chimba of Tennessee State University in USA, Professor Thobias Sando of University of North Florida, Economics professor Samuel Mwita Wangwe, Professor Lloyd M. Binagi, Professor Kohi, Professor Bwatondi, Professor Mohabe Nyirabu and the late Professor Paul Masyenene Biswalo, Professor Sarungi, Professor Daudi Mukangara, Professor Julius Nyang'oro and Professor Sospeter Muhongo, Tanzania's first professor of Geology. Prof. Muhongo is now a minister, Professor Lawrance Museru who heads Muhimbili National Hospital, Professor Warioba (former Vice Chancellor for Mzumbe University), Dr Nyankomo Wambura Marwa a Senior Lecturer and Development Finance scholar at the University of Stellenbosch Business School in South Africa and Herbert Smith Center for Technology Management and Entrepreneurship at the University of New Brunswick Canada. Professor Francis Shasha Matambalya, Tanzania's first indigenous professor of international trade was also born in Musoma. He is a scholar of international repute in his area of specialization. Professor Ibrahim Hamis Juma, Tanzania's current Chief Justice also hails from Musoma. Mara has also produced several chemists such as Abdallah A. Kalimbika, Emmanuel Marwa, Peter Musiba, Magori Nyangi and Robert Christopher. Also Geologist Christopher Mkono, Botanist and Senior Lecturer Nyatwere Donasian Mganga hail from Mara.

Other important people to hail from Mara are Alphayo Kidata, Head of TRA, Dr Samwel Nyantahe of CTI, Musiba Masamba the Meteorologist of Tanzania Meteorological Agency, Dr.Ayub Ryoba of TBC and Esther Matiko the Tarime Urban MP.
 
THE LIST ABOVE INCLUDES ONLY SOME POPULAR OR NOTABLE POLITICAL FIGURES AND ACADEMICIANS FROM MARA REGION. BUT GENERALLY SPEAKING THE LIST COULD BE ENDLESS. People from Mara region always keep a humble profile (not out spoken or boasting) though are very strong and powerful when it comes to politics and academics)
 
Vip ulishawahi kufika kagera Kwanza?


Unapafahamu Rubya?vip kamachumu? Vip kagondo?vip itahwa?,je nshamba je,

Kwamba karagwe hupajui ? Na je maruku? Katoma je?


Ulishawahi kuuliza familia mojamoja na wakakuambia waliosoma ni wangapi?


Kwa taarifa yako.
Wanasheria wengi wahaya,madaktari na mainginia wengi wametoka wilaya ya muleba hasa kamachumu, nshamba,na Rubya.

Mapadre wengi na maaskofu wa kihaya wakatoliki wametoka kagondo ,Rubya, kamachumu, muhutwe na nshamba huko muleba.


Hata maprofesa bado wengi wa buhyoza yaani Bukoba vijijini mfano kijiji cha kabale na Kitwe huko itahwa kina maprofesa watano baadhi Yao ndo wakina profesa mutahaba,na professor mukandala.


Msomi wa Kwanza Tz kupata degree katika chuo cha havard ni mchumi justian Rweyemamu mzaliwa wa katoma Kwa wahyoza Bukoba vijijini.


Njoo basi mpaka kwenye ukardinali Yule Rugambwa ametoka kamachumu na kamachumu wametoa maaskofu sita wakubwa mpaka sasa


Wachumi wakubwa kama Charles mwijage,bashungwa na ally mufuruki tajiri mkubwa kuliko wahaya wote wametoka muleba na karagwe.

Karagwe kuna mtu maarufu Sana sir George kahama the only sir in Tanzania.



Tena umeongelea Malaya wa kihaya .wengi wao hutoka kiziba na wanapenda Sana ngono watu wa kiziba maana hata mgonjwa wa Kwanza wa ukimwi aligunduliwa huko kanyigo kiziba na ndo waliathirika Sana na ukimwi.



Mambo mengine waulize wahaya wenyewe maana hata kiziba iko nyuma kimaisha ukilinganisha na muleba na baadhi ya sehemu za Bukoba vijijini na karagwe
Kujadili vitu bila supproting evidence ni utoto na majungu tu. Hebu weka list ya maprofessor wote toka mkoa wa Kagera ikiwezekana weka tu hata marehemu waliotangulia mbele ya haki halafu na watu wa Mara waweke maprofessor toka Mara hapo ndio utajustify kwamba Kagera kuna maprofessor wengi kuliko Mara.
Wingi wa shule siyo wingi wa wasomi inategemea na attitude ya jamii husika kuhusu elimu. Pamoja na kwamba mkoa wa Mara haukuwa na shule nyingi za sekondari lakini watu wa mkoa wa Mara wengi sana wamesoma shule za sekondari nje ya Mara ikewemo hizo shule zenu kongwe za Kagera, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Tabora na hata Morogoro tangu wakati wa ukoloni na hata baada ya kupata uhuru. Sema tu watu wa mkoa wa Mara hawana sifa za kujitukuza au kujisifia mambo yao kimya kimya tu. TWENDE KWA EVIDENCE
SIYO POROJO.

Hata maprofessor wengi wa ukerewe asili yao ni mkoa wa Mara sema tu kwa vile kisiwa cha ukerewe kiutawala kipo mkoa wa Mwanza.
 
Bila kuangalia list yako mm naweka 1. KAGERA - Harvard of Africa.
2. GEITA.
3. Tabora- Eg. Profesa Mkuu wa Uchumi Duniani na Mwenyekiti wa Kudumu Ayatollah, L.
 
Kujadili vitu bila supproting evidence ni utoto na majungu tu. Hebu weka list ya maprofessor wote toka mkoa wa Kagera ikiwezekana weka tu hata marehemu waliotangulia mbele ya haki halafu na watu wa Mara waweke maprofessor toka Mara hapo ndio utajustify kwamba Kagera kuna maprofessor wengi kuliko Mara.
Wingi wa shule siyo wingi wa wasomi inategemea na attitude ya jamii husika kuhusu elimu. Pamoja na kwamba mkoa wa Mara haukuwa na shule nyingi za sekondari lakini watu wa mkoa wa Mara wengi sana wamesoma shule za sekondari nje ya Mara ikewemo hizo shule zenu kongwe za Kagera, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Morogoro tangu wakati wa ukoloni na hata baada ya kupata uhuru. Sema tu watu wa mkoa wa Mara hawana sifa za kujitukuza au kujisifia mambo yao kimya kimya tu. TWENDE KWA EVIDENCE
SIYO POROJO.

Hata maprofessor wengi wa ukerewe asili yao ni mkoa wa Mara sema tu kwa vile kisiwa cha ukerewe kiutawala kipo mkoa wa Mwanza.
Mkuu Istanbul umeteleza kidogo kwa kusema wenyeji wa Ukerewe asili yao ni Mara. La hasha asili ya Wakerewe na Wakara ni Buhaya au tuseme Kagera ya sasa. Wao wanajua hivyo na historia inafundisha hivyo. Na ndio maana lugha zao na kihaya zinashahabiana pakubwa . Muulize Prof. Kahigi ambaye ni Mkara akupe somo.
 
Back
Top Bottom