fredito13
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 145
Mbeya kuna makabila ambayo nadhani yanafikia 6 (Wanyakyusa, Wanyiha, wasafwa n.k.). Wanyakyusa ndo kabila kubwa na dominant katika mkoa wa Mbeya na wao ndio wanaobeba bendera ya mkoa mzima! Unapozungumzia Mbeya, unazungumzia Wanyakyusa kwa 75% labda na waliobaki ni makabila madogo madogo. Na unapotaja makabila 3 yenye wasomi wengi Tanzania hii ni Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa. Sio wasukuma wala Wajita!mbeya kuna makabila mangapiiiii
na je katika hayo makabila ni makabila mangapi yameenda shule na yapii hayajaenda shule pia katika hili usiangalia kabila moja angalia makabila yote kwa ujumlaa yanapatikana mbeya kishaa ujeee
utuambie jamii ngapi zimeenda shule usiliangalie kabila moja angalia makabila yote