Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani ya mkoa wao ni magumu na yanahitaji akili ya hali ya juu zaidi

hii nzuri sana kwa hapo redi naunga mkono 100%
 
kwenye line; matatizo magumu ndo yapi na rahisi ni yapi?? urongo huooooo

Mbeya===ndio wanaishi kwa furaha zaidi kuliko mikoa yote,sababu kubwa ni ile ya kuamini lazima kila mtu atakuwa tajiri siku moja Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani ya mkoa wao ni magumu na yanahitaji akili ya hali ya juu zaidi
Iringa===wanaishi maisha yenye giza mbele kwa kuwa wanaonekana wamekata tamaa zaidi kuliko mikoa mingine
Mtwara==wamezoea matatizo magumu na wanaona ni kitu cha kawaida kwao
Rukwa==wanaishi kwa kuheshimu binadam wenzao zaidi kwa kuwa wanajua maana ya radi za kutengeneza
Arusha==wanaishi kwa matumaini ya maisha kubadilika lakini inaonekana kama itakuwa ngumu zaidi kwa sababu serikali ya ccm imeamua kuwakomoa kwa vile walichagua upinzani

list itaendelea kwa kuwa tupo ofisini tunaendelea kufanya research
 
Kagera wanatamani kuwa wananchi wa Uganda au Rwanda.

Kagera ===wanaishi kwa matumaini hadi hapo wasomi(ma-Prof na Ma-Doctor) waliosheeni nchi nzima kutoka mkoa huo watakapo-amua kurudi na kuujenga mkoa wao; kwani kama si Rami ya kutoka Lusaunga hadi Mtukula hakuna chochote wanacho weza kujivunia wakazi wa mkoa huo.
 
Kagera wanatamani kuwa wananchi wa Uganda au Rwanda.

kwa hli kweli huwa silifurahii hata kidogo.... kina nshomile wengi they are much proud of being Ugandans or Rwandans!!! kuna jamaa yangu mmoja kwenye mazungumzo yetu aliwahi sema siku ikitokea akashika nchi basi huo mkoa atampa Museveni
 
Mbeya===ndio wanaishi kwa furaha zaidi kuliko mikoa yote,sababu kubwa ni ile ya kuamini lazima kila mtu atakuwa tajiri siku moja Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani ya mkoa wao ni magumu na yanahitaji akili ya hali ya juu zaidi
Iringa===wanaishi maisha yenye giza mbele kwa kuwa wanaonekana wamekata tamaa zaidi kuliko mikoa mingine
Mtwara==wamezoea matatizo magumu na wanaona ni kitu cha kawaida kwao
Rukwa==wanaishi kwa kuheshimu binadam wenzao zaidi kwa kuwa wanajua maana ya radi za kutengeneza
Arusha==wanaishi kwa matumaini ya maisha kubadilika lakini inaonekana kama itakuwa ngumu zaidi kwa sababu serikali ya ccm imeamua kuwakomoa kwa vile walichagua upinzani

list itaendelea kwa kuwa tupo ofisini tunaendelea kufanya research

MABARA GANI WATU WAO WANAISHI KWA FURAHA DUNIANI
ULAYA ==INAONEKANA WANAISHI KWA RAHA KWA KUWA HAWAPIGANI SANA, WANAHESHIMU HAKI ZA BINADAM
AMERICA YA KASKAZINI==NAO WANAONEKANA KUWA WANA RAHA NA HAWANA MATATIZO
AFRICA == NI BARA LA WATU WALIOKATA TAMAA, WANAPIGANA SANA, HAWAPENDANI, HAWAHESHIMU HAKI ZA WENZAO
list itaendelea kwa kuwa tupo ofisini tunaendelea kufanya research

Je, hii pia itakua ni sahihi kusema hivyo kama hilo la juu ni sahihi
 
Mkuu mkoa wangu mpya wa Njombe..ukoje?...pia nisaidie lengo la hiyo tafiti mkuu wng

njombe si ulikuwa chini ya iringa?tumechukua iringa na ujumla wake,tunafanya research kwa sababu nyingi,kujua uwezo wa watu wetu,kujua hali halisi ya maisha yanayomfanya mtu awe na furaha akifikiria ya kesho,kukusaidia kama unataka kuhama na kwenda kuishi mkoa mwingine
 
Back
Top Bottom