Mansakankani mussa
Senior Member
- Feb 13, 2021
- 196
- 240
Umenikumbusha msenge mmoja nilipeleka PC yangu kutengenezewa akaiba HDD yangu Bure hapohapo Kwa kuprint A3 Yako babati. Fundi hamisi! Lkn babati siyo mbaya ni pazri.Singida
Manyara
- Kielimu ipo nyuma:vyuo vichache, hata wenyeji kielimu pia muamko mdogo
- Ardhi kane
- Maji shida
- Hali ya hewa mh....
- Huduma za Afya bado
- Shughuli za uchumi ndogo
Babati ni Wilaya nzuri ina potential kwa miaka ijayo...na hali ya hewa safi sana...
Ila kanakwamba huduma ya ku-print A3 ya rangi ipo sehemu moja tu,jua bado maendeleo...
Wilaya ya Simajiro ni kame sana ...