Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dharau
Dharau
Dharau

Dharau ni kitu kibaya sana, kuna website nilipita nikakuta tabiri za mechi zimeweke karibia na kila ligi kama ifuatvyo;
Almeria vs Girona
Girona W/D

Everton vs Aston Villa
Aston Villa W/D

Nigeria vs Guinea
Guinea W/D

Sasa nilivyojifanya mjuaji nikaweka mkeka hivi
Girona over 1.5
Aston Villa over 0.5
Nigeria over 0.5

Mkeka mwingine nikaweka
Girona W
Aston Villa W
Nigeria W kisha uwepo wa Victor O na wapaka powder wenzake
Website gan hyo mzee baba
 
Betting ni ngumu sana

Nilikuwa na open bets jana na leo zaidi ya 200
Lakini zimebaki 9 tu za AFCON ambazo mbili ni za over 0.5 first half(2) na nyingine over 1.5 full time(7) nimerudiarudia

Nisingecash out matreni yalioanza jana kwa Vimeo vya leo hata mtaji ningekosa


Sitakata tamaa , mimi ndiye mshindi wa bilioni 40 mwaka huu Betway

Betting pia inahitaji uzoefu na bahati inakuja baadaye
 
Booooooooooom

hongereni mlojaribu
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240114_233948.jpg
 
Pumzika kwa amani legendari.
Mkuu MACHONDELA, marehemu alikuwa anapenda kubeti basketi pekee. Huu ni moja ya mkeka alioweka tarehe kama ya leo (14-01-2020).
Yes Sana mkuu,tena Sana.Ndo hivyo ameanguka,trh 18.01.2024 mwili utaingia Dar kutokea Japan,alikuwa anakula PhD,r.i.p @z.z.rumisha

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa

Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type
Hahaha ila humu jukwaani kunafurahisha sana ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu, tunampiga kanji bila kelele kabisa

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom