Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,138
- 14,558
YanabutuliwaHivi wadau hizi treni huwa mnabutua/mnashinda?? Au ndo suala la uvumilivu mwaka mzima?
YanabutuliwaHivi wadau hizi treni huwa mnabutua/mnashinda?? Au ndo suala la uvumilivu mwaka mzima?
Kwa urahisi Ingia telegram search CHATGPT ikitokea anza kuchati nalo kwa kuuliza swali lolote.
Kasemaje mkuu?Nimeliambia nimekupenda nataka nikuoe .
Alichonijibu nimebaki kucheka tu🤣🤣🤣
Limesemaje?Nimeliambia nimekupenda nataka nikuoe .
Alichonijibu nimebaki kucheka tu
wanamuua google taratibuAisee hilo robot limesetiwa aisee, hii dunia ipo speed sana. Dude hata ukilichanganyia lugha kwenye sentence moja nalo linakujibu fresh kabisa shikamoo mthungu
Kesho atakae weka mkeka mmoja ata kula Ila uki weka kwanzia miwili Basi jua una mchangia kanji kamali xikuzotee Ina matokeo mawi ikitokea ume weka zaidi ya mkeka mmoja basi akikisha mikeka yako ume iweka kimpangilio Yani Kama mmoja uki tiki na mingine ikichanika Basi ule mmoja uwe ume ludisha pesa zako na ume pata faida vinginevyo wewe uta kua ume poteza kamali aina drow Jambo la mwisho usi fungue app ya kubetia Kama ujui unaenda kubet option gani kwenye mechi gani .apo ndio uchawi wakanji ulipo Bab jesuss mbunge wa viti maalumu
Umerudi,ila inaganda ganda,but ipo fresh somehowWakuu bado sportbety inazingua ama?
Bora hata sasa hivi, baada ya malalamiko wanaandika jina moja, zamani unapigwa na picha kabisaAisee hivi vikampuni Yaani milioni 6 mtu anatiwa kwenye Page?
Huko Sportpesa na MBET zinapigwa mpaka 15m na hawashoboki,yaani wao mpaka wakutie kwenye Page zao uwe umewin share ya Jackpot au umewapasua vilivyo.
kabisa wiki ya kwanza baada ya international break huwa inatoa matokeo yakiboya mara nyingiMsipokuwa makini kesho mtapigwa kama ngoma...
upo vzuri huu•#TODAYS_REGULAR_TIPS•
21:00; Burnley ️ Sunderland- 1X
21:00; Marseille ️ Montpellier - Ov 1.5
20:30; Frankfurt ️ Bochum - 1X
20:30; Genoa ️ Reggina - 1X
21:00; Mallorca Osasuna - Un 4.5
21:00; Levante ️ Real Zaragoza - 1X
20:45; Zulte-Waregem ️ Antwerp - X2
20:45; Cork City ️ Drogheda United - Ov 1.5
20:45;Shelbourne ️ Derry City - X2
20:45;St Patricks Athletic ️ UCD - Ov 1.5
20:00;ADO Den Haag ️ Telstar - Un 4.5
20:00;Heracles ️ Almere City FC - 1X
20:00;Maastricht ️ FC Eindhoven - Ov 1.5
20:00;Top Oss ️ Helmond Sport - Ov 1.5
20:00;PEC Zwolle ️ FC Utrecht Reserves - 1X
20:00; VVV ️ NAC - Ov 1.5
19:00; Odense BK ️ Midtjylland - X2
20:00; El Zamalek ️ Al Merreikh - 1X
23:00; Raja Casablanca ️ Simba Sports C - 1X
19:30; Hartberg ️ Austria Lustenau - Ov 1.5
•
Total Games: 20
Pick: 12
•
HURRY #SHARE {Highest Share to Football Groups & recommending our page via Reviews }
NOTICE: ANY ONE WITH the HIGHEST SHARE WILL BE SELECTED TO JOIN OUR VIP FOR FREE.. Selecting Today YOU MIGHT BE LUCKY
•
Our WhatsApp Vip Tips are 95% accurate
Interested? Send us a private message.
For #Betting_Tips Follow
Lsfootball tips
For #BANTERS JOIN
Lsfootball Taunts/Vawulence
Always Like to Be Lucky & comment to be our top fan
# NEW TELEGRAM VP CHANNEL
🚩 LSFOOTBALL CHANNEL 🚩
🚩LSFOOTBALL TIPS 🚩
•#Lsfootball_Tips•✓
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
kimeshanuka huko? Niwewaweka twenye jamvi langu kwa option ya D.C 1 or 2, ngoja nikachungulie matokea nisogeze na dawa tatu yangu karibu naona mda wakuugulia maumivu ya kichwa umefika.....Olympique Marseille anaanza kutukaribishia weekend kwa Kichapo
Na wewe unvyobeti timu fulani ishinde au ifungwe unacheza ukoo wenu mpaka uipangieUnaweka timu ifunge magoli matatu unacheza wewe?
Hili kombora mhindi ataenda kutema bungo, goma linatembea vuzuri mno, kosa kubwa nililofanya ni kuondoa bouble chance kwenye mechi moja nikaweka over 1.5 matokeo yake naona ngoma inaenda kuisha 0-0.
Daaah namaliza tu kutype ile narudi kule nakuta mambo yameivaHili kombora mhindi ataenda kutema bungo, goma linatembea vuzuri mno, kosa kubwa nililofanya ni kuondoa bouble chance kwenye mechi moja nikaweka over 1.5 matokeo yake naona ngoma inaenda kuisha 0-0.
Game ya Beligium Pro League.