Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SPORTBETY mtandao upo down.

Ikifika kesho mtandao haufungi basi watapoteza wateja teleeeee.Nikiwemo Mie.
Maana BETIKA walizuia pesa yangu,mara kampuni ya Sim ukioigia kampuni ya Sim wanakuambia pesa zimeishatoka.Nikasepa.

Sasa SPORTBETY hawana back up,so likizima linazima ziiii
 
Aisee nilikuwa siijui hii Chatgpt...inanisaidia sanaa kiofisi.....checki majibu ya betting....hahahaa
Chatgpt
Screenshot_20230331-204308_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom