ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,634
- 2,463
Acha kulialia siku mbaya tumeumbiwa sisi wanadamu.Nilifata code za humu nikawa na jumla ya mikeka 11, sasa hivi nafungua nakutana na ********
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Acha kulialia siku mbaya tumeumbiwa sisi wanadamu.Nilifata code za humu nikawa na jumla ya mikeka 11, sasa hivi nafungua nakutana na ********
Kama mm tuu, niliandaa treni la odds 3 nikaweka 10k kila timu ipate goli moja afu huyu chelkenge amekuja kuniharibia tena pekee ake