MATCH ABANDONEDWakuu kuna friendly game sijui imevunjika ya Port Vs RF ilianza saa saba..kuna mwenye results manake nimeitafuta sehemu mbalimbali bila mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawaeleweki mkuu ni kuachana nao tu hawachelewi kutoka 0-0 hawa
Naona ndo wamezinduka sasahivi 1-0Hawa hawaeleweki mkuu ni kuachana nao tu hawachelewi kutoka 0-0 hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee natamani hata kuuza betslip maana nawasubiria washinde moyo unapiga kama mashine mbovu hawachelewi kusawazishiwa hawa.
Dah hawa wachina huwaga nawaamin kwakufungana asa Leo nahisi kuna mtu anamkosi alafu kawabetia ndiyo mana mpka sahv hola...jaman mkijiona mnamkosi msiwe mnatualibia mikeka yetu bhana dah
Sent using Jamii Forums mobile app
msiache pesa iyo wadau!Kenikia la Pesa wadau Odds 20+
View attachment 845835