koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,790
- 10,377
Leo siweki mkeka maana sioni timu za kuwekea dhamana
Leo siweki mkeka maana sioni timu za kuwekea dhamana
Mimi nimewithdraw tangia asubuhi lakini mpaka sasa holaDaah nina shida na hela nime withdraw premier mpaka sasa kimya
Premier betting inabidi kuwazoea tu. Ni vyema ukawithdraw kwanza siku za kazi, pili kuanzia mida ya saa nne na usiwe na haraka maana inawezs ingia kuanzia mida ya mchana kuelekea jioni.....poleni.Mimi nimewithdraw tangia asubuhi lakini mpaka sasa hola
Tumeshawazoea ila inabidi wabadilike na kuwahama haiwezekani maana wana option nzuriPremier betting inabidi kuwazoea tu. Ni vyema ukawithdraw kwanza siku za kazi, pili kuanzia mida ya saa nne na usiwe na haraka maana inawezs ingia kuanzia mida ya mchana kuelekea jioni.....poleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaaniii majanga, premier ingekuwa kama meridian, mkekabet, princessbet ingekuwa raha sana lakini hawa, unaweza uka-withdraw asubuhi kitu ikaingia saa mbili usiku, weekend ndo kabisaaaaaa bora hata m-bet wanajitahidi, sijui sportpesa kwa ambao huwa wanabet hukoDaah nina shida na hela nime withdraw premier mpaka sasa kimya
Mkuu nimeiona premierbet tatizo nikitaka kujoin inaniletea option za computer kwenye cm inazingua, au inapatikana play store?Natumia premierbet huko m bet sikumbuki ni lini nilideposit hata mara ya mwisho
mkuu hamia kampuni nyingine huko m bet unabanwa hawataki ule wanataka wale peke yao hawana option nyingi
Mbet ni tutorial for beginner.Kuna kampuni kwa jinsi zilivyo na options chache inabidi zikose wateja.Mojawapo ni hao mbet.Sijui watu wanaipendea nini?
Sahihi mkuu nahic kesho ng'ai ng'ai.Leo siweki mkeka maana sioni timu za kuwekea dhamana
Pamoja na hivyo wanachonifurahisha ni mi-odd yako mikubwa mikubwa ukiwapatia unawapiga parefu kwa game chache
PIN namba uliyotumia wakati unajiunga ndio reference namba mkuu. Namba ya kampuni ni 238844Jaman kwenye mkekabet, nikitaka kuweka pesa kipengele cha kumbukumbu namba naweka ipi? Namba ya cm au PIN?
Msaada wadau, nimeweka hela tangu Jana meridian lakini haionekani kwenye balance wakati tigo pesa ishakatwa. Mwenye kujua anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mm nimejoin kwa kutumia simu! Accept hapo Pc version acha uoga mkuu! Jiunge fasta upige hela! Premier haina app ni website tuuMkuu nimeiona premierbet tatizo nikitaka kujoin inaniletea option za computer kwenye cm inazingua, au inapatikana play store?
kwa kweli nimeangaika mpaka nimechoka kutafuta iyo app ya premier maana mbet washanifilisi na odds zao ndogoMbona mm nimejoin kwa kutumia simu! Accept hapo Pc version acha uoga mkuu! Jiunge fasta upige hela! Premier haina app ni website tuu
Million dollars