HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,598
- 95,159
Kule niliwahi kuja nikaona miyeyusho, nikarudi huku maana tuna leseni na maeneo ya uchimbaji,na vifaa vyote...Yeah huku ni kwa muda, ila wakati huu wa masika mambo sio mabaya mkuu.Ila ile namba 01 yote iliyowashinda wachimbaji kwasababu ya maji imechukuliwa na machina kwahiyo mambo sio mabaya.Nikitoka huku naenda Chunya.
Mkuu sio wewe tu uliyepoteza, mimi hapa nina hasara ya 250K sema najua itarudi kwa njia nyingine.
.
Huku iwe mvua au jua sisi twapiga kazi
Sent using Jamii Forums mobile app