Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JamiiForums1389182147.jpg
 
nahisi kuna kitu kinaendelea siyo bure ,Jana ligi ya Czech timu kubwa zimedraw,leo leo pia zimedraw .Zenit Leo kadi nyekundu,Ac Roma kafungwa .Ligi ya England Chelsea ana draw kumsubiri Mancity aliyefungwa wiki iliyopita ashinde ,Leo Liverpool ataleta pia surprise ,siyo bure nadhani makampuni ya betting kuna madili wanacheza
Tusubiri komb la dunia asee hali so poa kipind cha nyuma akukua ivii ..afu unakuta mechi inaisha inaongezwa dakik 9 mfano io gemu ya atletico imengezw wakapigwa .. gem ya toternam imeisha droo ikaongezwa dakik chache gem ya arsenal ikaongezwa dakik 6 ila isawazishw khaaah na hiz red tena
 
Sio utani nimepiga hesabu tokea trh 1 moja mwezi wa kumi hadi trh30 hakuna faida yoyote ile zaidi ya hasara tukiendelea kudanganyana na kufarijiana na usemi wa ipo siku kanjibhai atalala
Polee sana mkuu..uamuzi ni wako kama unaweza kuepuka kaz hii bora uache kama unaona unapata sana hasara..huu ni uwekezaji inabid tucheze kwa heshima sana.
 
Ni rahisi sana kwa mchungwa kustawi kwenye rami,kuliko mtu kushinda laki 5 kwenye betting.
Asilimia 99.9 ya watu wote wanaobet hapa tanzania wana negative balancee of payment,maana yake wamedeposit sana kuliko kuwithdrwaw
..dah kwhy ni rahis sana mchungwa kustaw kwny rami mkuu.

Ni kweli kbs ndo maana unaona kampun za betting kila.kukicha zinaongezeka ndo maana ni 1 kati ya sekta wanazo toa dividend kubwa serikalin sio bht mby wanapata sana hela zetu.
 
Aliyempa leo direct win liver bila uoga lbd haangaliagi mpr..west ham hawa wazr sana tena wako kwao London Stadium..kuna risk zngne sio za kuchukua
 
Back
Top Bottom