Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting sio ya kila mtu aisee..upepo ume change kinoma..
Kila siku makampuni ya betting yanaongezeka tu, wameshaoona faida iliyopo huku Kwa kutupiga pesa zetu tunazozitafuta Kwa jasho...Mpira pia umebadilika Sana sikuhizi, timu kutoa matokeo ni kazi mno na Odds wanaziminya Sana, kupata Odds mbili au tatu utajaza timu zaid ya nne. Betting ilikua na unafuu zamani.
 
Nilideposti laki moja, hadi sasa nimepigwa mikeka mitatu ya odd 2+ ya elf25 kila mmoja
Uwezo wangu wa kubashiri nadhani umekomea hapa kwa sasa na acc ina baki ya elf25

Naombeni mwenye nyota inamng’aria anipe odd 4 tu nijitoe muhanga liwalo na liwe ili nirudishe mtaji wangu nipumzike hadi weekend ijayo
 
Kama una imani ndogo unaweza ukaamini hawa Bookies ni wachawi aisee
Ukibet game 10 una lose moja
Ukibet game 5 una lose moja
Ukibet game 2 una lose moja
Ukibet game moja unalose hiyo hiyo
Wakuu hawa jamaa inabidi kuwatafutia mmbadala, ikiwezekana kabla ya mwaka huu kuisha makampuni yote yafungwe kwa kufilisika. Hivi hamna mwenye jicho la tatu humu???
 
Pumzika kwanza mkuu
Nilideposti laki moja, hadi sasa nimepigwa mikeka mitatu ya odd 2+ ya elf25 kila mmoja
Uwezo wangu wa kubashiri nadhani umekomea hapa kwa sasa na acc ina baki ya elf25

Naombeni mwenye nyota inamng’aria anipe odd 4 tu nijitoe muhanga liwalo na liwe ili nirudishe mtaji wangu nipumzike hadi weekend ijayo
 
Mwenye buku anipe wakuu, nimeambiwa nibonyeze 1 kupata songesha ilihali ninadeli la 10k songesha
 
wakuu betpawa hiyo,hebu chezeni jackpot hii tunaweza kupoteza mawazo kidogo kwa kushinda mapesa yote au kupata bonud,

ushindi upo,uhakika
IMG_20211003_162129.jpg
IMG_20211003_162103.jpg
IMG_20211003_162038.jpg
 
Back
Top Bottom