Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimechukua Psg na Buyern pekee, nimestake high...wasipotoa basi wakuu nitakaa Kwanza pembeni Kwa muda. Maana kuna wakati nilikua nachukuaga timu 10 ikawa inachana moja tu. Nikaweka mikakati niwe nachukua timu mbili tu, bado pia ikawa inachana moja tu kwenye hizo hizo mbili. Juzi Ueropa nikasema nimchukue Napoli tu peke yake, kilichotokea mnakikumbuka.
 


Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu badili option weka hata GG alafu team moja
 
tusaidie code mkuu?
 
Odds ndogo kuliwa ni ngumu 2 mzee sisi wengine ishu ni stake ndomana tunabet odds nying kwa hel ndogo
 
Wakuu nataka nijitoe muhanga niweke laki moja...Psg win and over 1.5, Buyern win and over 2.5, Buyer Leverkusen 1st half win or Draw na Madrid win. Ushauri wakuu hapo.maana hela ya Kodi hiyo

Km unaham ya kupigwa mpk uchakae hapo kwa leverkusen nitia uone alaf kumbe ni hela ya kodi acha hiyo kitu usije ukaja hapa na masikitiko acha tamaa tafuta odds mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…