Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mkeka wangu wa tokea juzi, niliweka timu 32 zimewin 15 nataka nicash out, naogopa timu za leo zisije zikauchana.
 
Wakuu nataka nijitoe muhanga niweke laki moja...Psg win and over 1.5, Buyern win and over 2.5, Buyer Leverkusen 1st half win or Draw na Madrid win. Ushauri wakuu hapo.maana hela ya Kodi hiyo
20211003_102626.jpg


Kuna huu kama utaukubali
 
Back
Top Bottom