Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,167
- 1,406
- Thread starter
- #24,501
Man u, liva, chelsea,,, mkeka wa kigum total odds almost 5
Mr Odds za kuuza zimeishia wapi?
Oxford win either half
Man city 2+
Derby win either half
Angalizo wakuu.
Seria B leo kuna sare za kutosha.
Yap,hilo nalitazama kwa makini sana maana round iliyopita sare ilinona sana
Hawa premierbetting mbona wanazingua hzo vocha hazipatikan hata kwa mawakala wao
Double chance itafaa sana!
double chance kwa timu husika siyo ile ya timu yoyote kushinda game za zilizopita ziliniharibia mtaji wangu-kulikuwa na sare kibao
hata hvyo option ya double chance risk ni kubwa say kupata odd 2 pekee itakubidi kuweka timu kuanzia 3-4 bado kodi ikikatwa odds zako zitashuka mpaka 1.8 yani utaweka 10,000 upate elf 8,000.pia ni ngumu ktk timu 3 au 4 zote moja isitoe draw
maoni yangu achana na hyo option utapata hasara tupu
kiukwel hakuna option rahis jana nmecheza yeyote ashinde game ya chelsea ajabu wamedroo ni.wao tu wameninyima pesa
Ungewapa magoli mkuu match kama hizo mi ni magoli tu jana nimeweka match ya arsenal 3+ na match ya chelsea 3+ ya man 2+ na zote zimetoa
Shukuru mkuu hata kama n magol hvi ulitegemea game kama ya clystalpalace iishe 0-0 au game ya liverpol ishindwe kutoa 2+
Mm ni mgeni kwenye kubet naombn mwongozo jns ya kuwapa magoli au double chance inakuwaje wakuu.natumia M bett
Hii mkekabet unadeposit vipi? Reference number ndio MkekaBet?
kiukwel hakuna option rahis jana nmecheza yeyote ashinde game ya chelsea ajabu wamedroo ni.wao tu wameninyima pesa