mikataba feki ya mapenzi pm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikataba feki ya mapenzi pm

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ngongoseke, Aug 2, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bila shaka mikataba feki ya malavidavi inasainiwa kwenye inbox zenu a.k.a pm ajabu watu wakishagundua mikataba ni ya kifisadi wanakwenda mahakamani MMU' ombi langu kuanzia sasa mikataba yote iliyosainiwa pm iishie huko huko pm'

  Nawasilisha
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,808
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahahahahaha
  Ngongoseko yame kukuta nini?
  kweli kabisa wamegeuka serikali kukimbilia mahakamani

  umenichekesha hadi watu wananishangaa
   
 3. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Ruta,hayajanikuta ila naona mashtaka mengi mahakamani MMU uchunguzi wng nimegundua mikataba hii feki inasainiwa pm tu hakuna kwingine
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,808
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa ni bora wawe wana tuweka wazi kuhusu mikataba walio saini kuliko kutushirikisha wakati mikataba inapokuwa imevunjika!
   
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahhaa kweli naukitaka kuamini kama hyo mikataba inasainiwa pm angalia comment zao chini utawajua tu waliosaini mikataba hiyo feki
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,808
  Trophy Points: 280
  Kweli hili jambo nilikuwa sija wai kujiuliza kabisa! Ila kuna mmoja alishaa kiri kusaini mkataba na mtu hapa na huyo aliye sign naye alichukulia ana sign mkataba wa utani kumbe mwenzie alikuwa serious mwisho wasiku akaenda mahakamani(MUM) lakini alikataa kumtaja aliye sign naye mkataba!

   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mimi pm napenda sana. unajua ukitaka ujue viumbe wa jf wanajua kuandika kimahaba basi ni kwenye pm. wanabembeleza hao!!..we acha tu. yaani utafikiri ni madoctor wa mapenzi. mi napenda. walio nipm vizuri wote nawachumu..Mmwaaaaaa...!!!. mia
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,808
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahahahahah
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  pole mkuu
   
 10. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  imekula kwako mda huu ndiyo unafunguka,pole sana.

  Usirudie tena na katika kipengele cha mkataba ongeza hairuhusiwa mkataba huu kupelekwa sehemu nyingine tofauti na pm
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,087
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  unabeep ukipigiwa unahaha, kazi kwako.
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Bila ubishi figga umeshasaini huo mkataba
   
 13. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Comi ' mimi sijasaini nimeshtuka mapema
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hujakoma tu pamoja na kugandishwa zenji?
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mh watu mnavogombana na keyboard zenu
   
 16. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Umewaona eeehhh!!!
   
 17. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 18. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Me mbona sijawahi kupata PM yoyote ya mahabaaa??
   
 19. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mimi sijapata mkataba wowote.
   
 20. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haaa au mlijiunga jf bila kujitambulisha?
   
Loading...