Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Huyo boss atakuwa shigongo. Mkuu zabron mwenyewe nipo hapa
 
Wakuu najua haiwahusu ila kisa kule kwenye group kimefikia patamu Sana tuko episode ya 71 saizi full mauza uza malkia anafanya mambo ya ajabu lwanda kashakua doni balaa
NB bila kusahau shipa la kimkakati linapigwa hatari

Samahanini ndugu zangu
 
Duh nasikia na huko telegram Napo anapost anapojisikia mwanzo ilikuwa episodes zaidi ya tatu kwa siku ila sasa hivi hata hiyo moja mpk abembelezwe na pesa kachangiwa
Na mkimlazimisha atawaibuka kwa baby wa kongo na hamuwezi mfanya kitu

Kama mtu ashamwona Hadi shetani uso kwa uso nyie mtamwambia Nini .

Kama mtu ashawahi ikota Hadi damu za watu sio mchezo
 
Kwaiyo tukusaidieje we guruguja?
 
kwaiyo tukusaidie nini
 
Naomba kuunganishwa kwenye group la Telegram. Pesa ninayo ila sijui unailipia wapi na kisha link unaipata wapi, eish
 
Hapa nimejifunza kitu..
Usione mtu kachepuka/kakuacha /upendo umepungua ukajua ni hali ya kawaida aisee jamani maombi ni muhimu sana kwenye mahusiano/ndoa zetu, Mungu atusaidie kwakweli..
Hivi unaamini yote yanayohadithiwa humu? me myself and i nikikutaka kimapenzi njia nyingi sana za kawaida tu deal done.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…