Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.
Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,
Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.
nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni
Jamaa alipiga kelele za hatari





watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka