hahahaaaaaaaaaa,mbadala wa shanga huoMarinda ya mbavu ...siyapendi ..!!!
Hapo mmoja hujitoa ufahamu na kwenda kuchezea/kucheza naye...hahaha!! ndembe-ndembe.
Ndio tatizo la kuanza kwenda beach uzeeni...nimecheka kwa sauti...maana sijui hapo ameamua kutambaa au kajigeuza mbuzi...
Ndio tatizo la kuanza kwenda beach uzeeni...nimecheka kwa sauti...maana sijui hapo ameamua kutambaa au kajigeuza mbuzi...
hahahaaaaaaaaaa,mbadala wa shanga huo