Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

Kazi kulosa tu, sasa mchai chai umepanda wa nni??
Kulosa ni kufanya nn mkuu? Mchai chai ninatumia kuondoa bajeti ya majani ya chai na nitakuwa nauza fungu jero
 
Niidhani umeandika huu uzi ukiwa serious kumbe umepoteza muda wako kuandika huu upupu, maana kitu ulichokiandika ni kwamba akiwezekani hata uwe bahiri vipi ulichokifanya ni kuja kufurahisha genge tu
kwa hiyo ww upo serious kwenue jukwaa la jokes
 
kula chakuka kwa majirani
Huo mkuu ni unyimi 😃

Unanyimiaje kula mkuu? Kula tu ndo hivyo kesho Figo utatoa wewe? Naunaenda kanisani unataka kuingia pepo ya yesu. Yesu hakuwa mnyimi
 
Daah, yani nimefungua uzi kwa spidi nikajua kuna mbinu za maana za kusave money, kumbe mwamba ana mbinu za waliofeli duuh!!
 
Daah, yani nimefungua uzi kwa spidi nikajua kuna mbinu za maana za kusave money, kumbe mwamba ana mbinu za waliofeli duuh!!
Una mbinu hata moja hapo tentative mkuu? Hizi mbinu za uswahilini huku watu tusio na mipango 🤭
 
Niseme tu kwamba umeanza kuunajisi mwaka kabla hata haujatimu.

Hizo nguvu zote za kufanya timing na janjajanja ya kula bure, ungeelekeza kwenye shughuli ya maana, mbona ungeshatoka kitambo sana?
 
wakati unadhibiti njia za pesa kutoka ongeza na njia za pesa kuingia!, maana unaweza kujikuta unaishi kama shetani halafu hugeuki kuwa malaika!, maana lengo la wewe kufanya hivyo ni baadae kujakuwa malaika so angalia usije ukaliwa na stress!.

halafu acha ushamba unabanaje bajeti kwa kwenda kula kwa wengine unafikiri wenzako hawana bajeti..? huo ni ujinga, panga ratiba yako yachakula.
Nakazia
 
Back
Top Bottom