Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
popote ulipo kijana wa dar na vitongoji vyake jaribu kubadilisha matangazo yako kupitia redio nyingine totote na mjihadhari na clouds fm na tbc hawa ni mawakala wa mafisadi hivyo peleka ujumbe huu kwa mwanamageuzi yeyeote ili ikifika 2015 tutawahoji baada ya kuchukua majimbo yote ya dar.mungu walaani clouds kwani wana damu ya magamba.inshalah
tre bana awa jamaaa wanafiki sana bana
popote ulipo kijana wa dar na vitongoji vyake jaribu kubadilisha matangazo yako kupitia redio nyingine totote na mjihadhari na clouds fm na tbc hawa ni mawakala wa mafisadi hivyo peleka ujumbe huu kwa mwanamageuzi yeyeote ili ikifika 2015 tutawahoji baada ya kuchukua majimbo yote ya dar.mungu walaani clouds kwani wana damu ya magamba.inshalah
Hawa jamaa nina wasiwasi nao sana, nahisi kuna mtu au syndicate ya money launderers nyuma yake.Taasisi husika ziwafanyie uchunguzi wa kina. Hii kampuni imekua sana kipindi cha utawala wa awamu hii. Sasa hv karibu Tz nzima wamecover. Hapana kuna kitu na wanavyonyanyua magorofa kama uyoga inatia shaka.

kweli mkuu.oya hii langi yako sio. utafanya watu wasisome post zako.
wakati mwingine kichaa msikilize na uchukue mazuri machache kwani hayazidi mawili
kweli mkuu hii rangi inaumiza macho.oya hii langi yako sio. utafanya watu wasisome post zako.
Dah.. samahani mkuu lakini huwezi ukamchagulia mtu nini cha kusikiliza..! kusema ukweli mi na enjoy sana kusikiliza clouds! sansana kile kipindi cha michezo .... je unajua inapatikana hadi ughibuni kupitia mtandaoni ... kwa kibongo bongo clouds leval nyingine ...NUKTA.