Fimbo ya nyoka........ haiui mbali.
hahahha ukizama baharini ndio utajua maji si uhai..........
Kila la kheir...
na kufa na kiu baharini...kujitakia..
Kumbe!!!!!! Huwa nasikia sikia yakwamba ladyfurahia ni mcha Mungu, hata jina lake linaonyesha dhahiri kwamba ni mtu wa kufurahi muda wote, asiyependwa kukwazwa kwa lolote lile. Hii ndio sababu nami nimesogelea mti wenye harufu ya kunukia japo nami niweze kunukia.
Si unajua katika kupiga hatua nyingine kimaisha haina budi kutafuta mwenza ambaye atakuwa anakuchangia mawazo ili kuweza kulisukuma hili gurudumu la maendeleo.
Kila la kheir...
sore unajua Lady doctor ananitunzia watoto wangu niliozaa na Bishanga, so
jina nalikumbuka kumbuka
naomba uandike tu [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=68930" ladyfurahia[/URL] badala ya huyo mke mwenzangu.
umeoa eeeh...hahahahahahahahahahah nimekubali kamanda.....
Jamani tambua heshima ni kitu cha bure mtu anapokuheshimu nawe mheshimu pia
Mistake are always forgivable if one has courage to adnit them.
sore unajua Lady doctor ananitunzia watoto wangu niliozaa na Bishanga, so
jina nalikumbuka kumbuka
naomba uandike tu @Ladyfurahia badala ya huyo mke mwenzangu.
Kumbe!!!!!! Huwa nasikia sikia yakwamba ladyfurahia ni mcha Mungu, hata jina lake linaonyesha dhahiri kwamba ni mtu wa kufurahi muda wote, asiyependwa kukwazwa kwa lolote lile. Hii ndio sababu nami nimesogelea mti wenye harufu ya kunukia japo nami niweze kunukia.
Si unajua katika kupiga hatua nyingine kimaisha haina budi kutafuta mwenza ambaye atakuwa anakuchangia mawazo ili kuweza kulisukuma hili gurudumu la maendeleo.
Kila la kheir...
sore unajua Lady doctor ananitunzia watoto wangu niliozaa na Bishanga, so
jina nalikumbuka kumbuka
naomba uandike tu @Ladyfurahia badala ya huyo mke mwenzangu.
Kwani kuna mahali nimekushushia heshima? Mbona mimi bado nakuheshimu muda wote? Au kusema vile nilikukwaza? Kama nilikukwaza kwa maneno yangu just 4give me ila nilifanya kama utani tu.
ukisema cha nini ....................