Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

Kwa mkoa wa Tanga, Lushoto ipo juu sana kuna maeneo ni zaidi ya m 2000 na baadh ya maeneo ktk usambala east ambayo korogwe vijijin na watu wanaishi. Maeneo mengine kwa mkoa wa Tanga ni tambarare kawaida.
 
Umeniwahi nilishaanza kufikiria bonyokwa, goba, salasala na ukipita maeneo hayo bahari unaichungulia tu kwa chini. BTW VP khs makambako kwa mtazamo tu bila vipimo nahisi kama pako juu kuliko mafinga na njombe
mimi niko hapa kwetu, unaona Posta,kkoo yani mji wotee unauona Uwanja wa Taifa
Mtu akikaa hapa kwetu ndio atagundua Dunia duara
 
Humu kuna watu ambao wako interested na project mbalimbali katika taaluma zao kwa hiyo ni faida mojawapo ya kujua altitude za kijiografia ambapo ndio zinatambulisha hali/tabia ya nchi ya sehemu husika.

Swadakta.
 
Baridi lake hapo kitulo, sijawahi kulihisi sehemu nyingine yoyote.!
Mwezi uliopita nilipita Kitulo nikiwa natokea Makete kwenda Mbeya. Baridi la pale si mchezo. Kuna ukungu moja hivi huwa unatokea kiasi kwamba wenyeji wanasema ikifika kuanzia saa 12 jioni inakuwa taabu sana kuendesha gari...
 
Back
Top Bottom