Orodha ya Miji 20 Mizuri na Inayovutia Zaidi Barani Afrika

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,527
14,405
Ifuatayo ni orodha ya miji 20 mizuri na inayovutia zaidi barani Afrika.

1. Cape Town πŸ‡ΏπŸ‡¦

2. Zanzibar Stone Town πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

3. Cairo πŸ‡ͺπŸ‡¬

4. Addis Ababa πŸ‡ͺπŸ‡Ή

5. Djenne, Mali πŸ‡²πŸ‡±

6. Maputo πŸ‡²πŸ‡Ώ

7. Nairobi πŸ‡°πŸ‡ͺ

8. Essaouira πŸ‡²πŸ‡¦

9. Johannesburg πŸ‡ΏπŸ‡¦

10. Axum πŸ‡ͺπŸ‡Ή

11. Marrakech πŸ‡²πŸ‡¦

12. Saint-Louis πŸ‡ΈπŸ‡³

13. Lamu πŸ‡°πŸ‡ͺ

14. Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό

15. Swakopmund πŸ‡³πŸ‡¦

16. Luxor πŸ‡ͺπŸ‡¬

17. Island of Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ

18. Harar πŸ‡ͺπŸ‡Ή

19. Dar es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

20. Stellenbosch πŸ‡ΏπŸ‡¦

Source: Safari Bookings.
 
Ifuatayo ni orodha ya miji 20 mizuri na inayovutia zaidi barani Afrika.

1. Cape Town πŸ‡ΏπŸ‡¦

2. Zanzibar Stone Town πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

3. Cairo πŸ‡ͺπŸ‡¬

4. Addis Ababa πŸ‡ͺπŸ‡Ή

5. Djenne, Mali πŸ‡²πŸ‡±

6. Maputo πŸ‡²πŸ‡Ώ

7. Nairobi πŸ‡°πŸ‡ͺ

8. Essaouira πŸ‡²πŸ‡¦

9. Johannesburg πŸ‡ΏπŸ‡¦

10. Axum πŸ‡ͺπŸ‡Ή

11. Marrakech πŸ‡²πŸ‡¦

12. Saint-Louis πŸ‡ΈπŸ‡³

13. Lamu πŸ‡°πŸ‡ͺ

14. Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό

15. Swakopmund πŸ‡³πŸ‡¦

16. Luxor πŸ‡ͺπŸ‡¬

17. Island of Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ

18. Harar πŸ‡ͺπŸ‡Ή

19. Dar es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

20. Stellenbosch πŸ‡ΏπŸ‡¦

Source: Safari Bookings.
Zanzibar??😳
 
Pamekuvutia ww na huyo fala aliyeandika!!
afu usibabaike hiyo ni article tu mtu kaamua kupanga we naww unaweza andika yako tofauti kikubwa ujiwekee vigezos
Kila Mtu ana uwezo wa kuangalia na kutafsiri mambo nimeshawahi kuishi pale Zanzibar ni sehemu nzuri na Serikali imejitahidi sana kuitunza ile asili ya miji wa Zanzibar halafu UNESCO wanatoa hela nyingi sana kuitunza ile Stone town. Alafu nashangaa Wewe unapinga, Hivi unazijua beach za Zanzibar zilivyo kuwa safi na hata watu maarufu duniani wanazifia
 
Ifuatayo ni orodha ya miji 20 mizuri na inayovutia zaidi barani Afrika.

1. Cape Town πŸ‡ΏπŸ‡¦

2. Zanzibar Stone Town πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

3. Cairo πŸ‡ͺπŸ‡¬

4. Addis Ababa πŸ‡ͺπŸ‡Ή

5. Djenne, Mali πŸ‡²πŸ‡±

6. Maputo πŸ‡²πŸ‡Ώ

7. Nairobi πŸ‡°πŸ‡ͺ

8. Essaouira πŸ‡²πŸ‡¦

9. Johannesburg πŸ‡ΏπŸ‡¦

10. Axum πŸ‡ͺπŸ‡Ή

11. Marrakech πŸ‡²πŸ‡¦

12. Saint-Louis πŸ‡ΈπŸ‡³

13. Lamu πŸ‡°πŸ‡ͺ

14. Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό

15. Swakopmund πŸ‡³πŸ‡¦

16. Luxor πŸ‡ͺπŸ‡¬

17. Island of Mozambique πŸ‡²πŸ‡Ώ

18. Harar πŸ‡ͺπŸ‡Ή

19. Dar es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

20. Stellenbosch πŸ‡ΏπŸ‡¦

Source: Safari Bookings.
Kama Dar Inavutia basi hii list ni fake
 
Pamekuvutia ww na huyo fala aliyeandika!!
afu usibabaike hiyo ni article tu mtu kaamua kupanga we naww unaweza andika yako tofauti kikubwa ujiwekee vigezos
Zanzibar inapokea wageni wengi sana ,uchumi wa Zanzibar unategemea wageni tu ...Hakuna cha maana kwanza sehemu ni ndogo.

Zanzibar nguvu kubwa ipo kweny kutengeneza mji wao kuvutia watu ,kubaki kwa magofu pale ni ishara ya upekee kweny Utalii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom