Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Miji mingine midogo open space zipo ila ni kwa sababu miji haijakuwa siku kukiwa na ongezeko kubwa la watu zitaota mbawa
Watoto wa sasa hivi hawana maeneo ya kuchezea nawaonea huruma sana utoto wao ni mgumu
Kuna mda mtu unatafuta hata eneo la kwenda kutuliza akili hamna kwa wale wanywaji wanalazimika kwenda bar
Kuna mda najiuliza hivi hatuoni umuhimu wa kuwa na public garden mfano wa yale maeneo ya jeshi yaliyotengwa
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA PUBLIC GARDEN, OPEN SPACE NA SPORT CENTRE SERIKALI YANGU ITAKUA TAYARI KULIPA WATU FIDIA ILI HAYO MAENEO YAWEZE KUTENGWA
Yale maeneo yaliyotengwa na serikali na kuchukuliwa kihuni yatarudishwa bila fidia uzuri mmoja ramani zipo labda zichomwe moto zote
Kuna mda najiuliza sisi waafrika na watanzania tuna-allergy na vitu vizuri kwa sababu watu hawajali kabisa
www.jamiiforums.com

Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...