Mijengo ya Mbweni

Pesa zimejaa tele nchini ni wewe tu uwe na macho ya kuzichota tu fursa zipo tele sana nchi hii
 
Utajiri gani huo wa kipumbavu yaani usujudie majini wakupe utajiri wakati zipo njia kibao za utajiri uutakayo unakula na ndugu kwa amani na furaha
 
Mbweni viwanja vilipimwa tofauti na kijichi
 
Tulipoenda kuomba kibali cha ujenzi, wanataka maghorofa. Ndiyo maana unaona Mbweni ina maghorofa mengi. Karibu Mbweni JKT nakwede97 🤗
 
Pambana, jiamini na chonga connections(networking) vilevile usikubali kukatishwa tamaa ya kwamba eti hauwezi kufikia ndoto zako bila kujali una ndoto kubwa kiasi gani, mabao mengine hutokea unexpectedly kikubwa uwe 'babarani' ukipambana.
Mzee huu ujumbe mzito sana.. cha msingi ni kukomaa, michongo ya pesa ndefu inatatokea nikiwa road.. kuliko kushinda mtaan
 
Tupe code sasa
Ingia kwenye madarasa ya kiroho na utambuzi ujifunze siri za ulimwengu uwe huru ule kwa mrija.
Achana na mautajiri ya masharti ya kipumbavu, uliona wazungu au wachina wanalala na nyoka au kuku wa punje.
Utajiri na umasikini upo ndani mwako tumia sumaku iliyo ndani mwako uvute utajiri au umasikini, umeumbwa kwa mfano wa Mungu unakuaje masikini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…