Mijengo ya Mbweni

Weka picha. Siyo kila mtu kapita huko kama wewe
wakiwa mbwinde huko wanaipambania ccm tukiwaambia kwamba ccm wezi hawaamini sa kapita mbweni leo tu anashangaa hujaenda bahari beach, masaki, kunduchi, ununio , kule bunju moga road na vitu kama hivyo, atajua kwanini hawa jamaa wako tayari kutoa roho ZA watu wao waendelee kuishi hayo maisha....Lukasi Mwashambwa mwenyewe siku ya kukanyaga masaki akirudi uyole anaacha upumbavu wote...Anyways ngoja nkusaidie majibu, Mkuu mbweni ndio CCM wale Grade ya kwanza wanakaa wale wapumbavu wanakuaga huku jukwaani wanapiga kelele na kububujikwa na machozi wanakaa vingunguti spenko shrimp la mavi....
 
NATAMANI KABLA SIJAINGIA KWENYE ARDHI NIMILIKI NYUMBA MBWENI HIVI HIZI NI NDOTO AU UPUMBAVU AISEEE DAAAH!!
 
Sema Kuna vipande vya Mbweni na Mbezi beach Kuna Changamoto ya maji kutuama wakati wa mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…