Mijengo ya Mbweni

Aseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,

Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.

Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania

Yani sielewei kabisa
Wengi ni wafanya biashara mkuu mie mwenyewe soon naamia huko
 
Tafuta ramani for future mkuu siyo mbaya endelea kupita
Nyumba ya ulithi nipo
 
Huyo inabidi asile kama siku 2, ndio aje kula mahindi
 
Nchi ina GDP ya 78Billion $

Unajua ni sh ngap

78,000,000,000 x 2500 =1.95×10¹⁴
Ambayo ni. Trilion. Ngap? 195,000,000,000,000

Kama sijakosea n Trion 195 zinazunguka kila siku kwa mwaka mzima

afu unauliza watu wanatoa wap hela
Acha propaganda, wanazipata kwa mishe gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…