nondo kilimanjaro
Member
- Oct 30, 2017
- 93
- 43
yana sababishwa na ulaji mkubwa wa vyakula vya wanga mfano:- Chips, Wali au UgaliMatumb makubwa kwa wanaawake husababishwa na nn
yana sababishwa na ulaji mkubwa wa vyakula vya wanga mfano:- Chips, Wali au UgaliMatumb makubwa kwa wanaawake husababishwa na nn
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
Tocovid ambayo bei ni sh. 130,000/=. ndio nzuri, pia ubadiri mfumo wa ulaji chakula.Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
Habar mkuu, km hujapata dawa ya tatzo lako naomba nitafute niko na dawa itakayosaidia tatzo lako. 0712389865Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
habar! naomba nisaidiwe nina ndugu yangu ni mjamzito and anatatizo pia la PId ameshatumia dawa nyingi shida hiyo haijatoka, je kuna uwezekano kiumbe kikakua mpaka mwisho? na kama kuna soln yoyote tunaomba
Nashauri aendelee na tiba hasa cephalosporins ni antibiotics nzuri kipindi cha ujauzito
Na kuhusu mimba lolote laweza kutokea asipotumia matibabu kuna dawa inaitwa powersafe ceftriaxone ametumia pia ikashindwa kumtibu???
Ulifanikiwa kupona kakaHabari doctor,
Mimi ni ni muathirika wa masikio yaan hayasikii vizuri. Na nina experience vitu vifuatavyo!
a)Yana unguruma kwa ndani.
b)Mtu akiongea namsikia ila sijui n nn anamaanisha
c)Mtu akiwa mbali simsikii kabosa.
d)Hayaumi wala kutoa usaha.
Mwanzo nilitumiaga hizi ear drop za kunyunyizia sikion hazikufanya kazi. Badae nikaenda kupima na kupewa dawa zinaitwa neuroloton nilitumia miezi mitatu ila nazo hazija fanya kazi.
Nimesikia altenative way n kufanyiwa cochlear implant.
Rai yangu kwako ni je kuna dawa zaid ya hiyo ? na je kufanyiwa cochlear implantvina cost sh ngap?
Nendeni mkafanye vipimo braza, matatizo ya kutoshika ujauzito yako na variety of causes hutajua kipi ni kipi mpaka ufanye vipimo.Habari wataalam mimi ni mwanaume nina wasiwasi nina tatizo la uzazi maana kila nikifanya tendo na mwenza wangu then nikimaliza baada ya muda mfupi manii zinachuruzika ukeni kwake zinatoka yaani hazikai je hii ni hali ya kawaida? Maana kinachonipa wasiwasi hata nikikutana naye siku zake za hatari hashiki mimba, shida inaweza ikawa ni nini?