Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

Tafadhari naomba usikate tamaa msaada wako ni muhimu sana
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
 
Tocovid ambayo bei ni sh. 130,000/=. ndio nzuri, pia ubadiri mfumo wa ulaji chakula.
 
habar! naomba nisaidiwe nina ndugu yangu ni mjamzito and anatatizo pia la PId ameshatumia dawa nyingi shida hiyo haijatoka, je kuna uwezekano kiumbe kikakua mpaka mwisho? na kama kuna soln yoyote tunaomba msaada wenu
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
Habar mkuu, km hujapata dawa ya tatzo lako naomba nitafute niko na dawa itakayosaidia tatzo lako. 0712389865
 
habar! naomba nisaidiwe nina ndugu yangu ni mjamzito and anatatizo pia la PId ameshatumia dawa nyingi shida hiyo haijatoka, je kuna uwezekano kiumbe kikakua mpaka mwisho? na kama kuna soln yoyote tunaomba
Nashauri aendelee na tiba hasa cephalosporins ni antibiotics nzuri kipindi cha ujauzito
Na kuhusu mimba lolote laweza kutokea asipotumia matibabu kuna dawa inaitwa powersafe ceftriaxone ametumia pia ikashindwa kumtibu???
 
Mimi nina tatizo la kuota vipele kwenye kidevu.. mara ninaponyoa ndevu baada ya wiki 1 vinaanza kutokeza tena kwa wingi sana.
Msaada wa dawa kwa anaejua
 
Habari doctor,
Mimi ni ni muathirika wa masikio yaan hayasikii vizuri. Na nina experience vitu vifuatavyo!
a)Yana unguruma kwa ndani.
b)Mtu akiongea namsikia ila sijui n nn anamaanisha
c)Mtu akiwa mbali simsikii kabosa.
d)Hayaumi wala kutoa usaha.

Mwanzo nilitumiaga hizi ear drop za kunyunyizia sikion hazikufanya kazi. Badae nikaenda kupima na kupewa dawa zinaitwa neuroloton nilitumia miezi mitatu ila nazo hazija fanya kazi.

Nimesikia altenative way n kufanyiwa cochlear implant.

Rai yangu kwako ni je kuna dawa zaid ya hiyo ? na je kufanyiwa cochlear implantvina cost sh ngap?
 
Ulifanikiwa kupona kaka
 
a
REVITAL HEALTH CARE
ULCER TREATMENT

Get raw pawpaw and wash it. It must be raw, not ripe
Do not peel it and do not remove the seeds.

After washing the outside neatly, slice it without peeling it into small small pieces. The cutting should be small like sugar cubes.

Put all the small pieces of the raw pawpaw into any clean container.

Fill the container with water to stop at the same point the sliced pawpaw stopped.
Leave the pawpaw in the water for four days. For example if u soak it on a Monday, count Tuesday, Wednesday, Thursday and Friday will be the fourth day.

On the Fourth day, the water will be looking white in colour. Seive it and throw away the pawpaw and the water becomes your cure for ulcer.

DOSAGE: drink half a glass of the pawpaw water every morning, afternoon and evening. You will no longer feel those ulcer pains because it will heal the wounds inside that are causing the pain.

This morning, afternoon and evening drinking of the pawpaw water can continue for weeks and months depending on how severe the ulcer is. It is not relief. It is a cure.

Additional note: an ulcer is an internal wound usually in the stomach or intestines.

Common causes of ulcer are infection with the bacterium Helicobacter pylori (H. pylori) and long-term use of aspirin and certain other painkillers, such as ibuprofen (Advil, Motrin, others) and naproxen sodium (Aleve, Anaprox, others). Stress and spicy foods do not cause peptic ulcers. However, they can make your symptoms worse.

Pls avoid taking strong pain killers without prescription. If you take time to read the side effects you will see that the drugs for pain relief cause ulcer or wounds in the body.

This treatment mentioned is not a reason not to go to hospital, because not all internal pains are ulcers.
Let someone know and help someone get cured today.

Acha niisave
 
Habari wataalam mimi ni mwanaume nina wasiwasi nina tatizo la uzazi maana kila nikifanya tendo na mwenza wangu then nikimaliza baada ya muda mfupi manii zinachuruzika ukeni kwake zinatoka yaani hazikai je hii ni hali ya kawaida? Maana kinachonipa wasiwasi hata nikikutana naye siku zake za hatari hashiki mimba, shida inaweza ikawa ni nini?
 
Naimba kufahamishwa juu ya ugonjwa wa gono na syphirs mana yananichanganya na kipimo gani kinatumika kufahamy magonjwa hayo
 
UZAZI NA NGUVU ZA KIUME
MATUMIZI YA POWER RIJAR :

Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
Huchanganyi na chochote unatumia kama iliyo
Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo)
Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction
Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia

#ZINGATIA: Kama umekunywa POWER RIJAR saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAR saa 1:00 pm usiku

Gharama ya POWER RIJAR ni nafuu sana
Dozi ni 35000TSH TU
Manzese mkunguni street: DAR
Screenshot_20220325-174249_1.jpg
 
Habari wataalam mimi ni mwanaume nina wasiwasi nina tatizo la uzazi maana kila nikifanya tendo na mwenza wangu then nikimaliza baada ya muda mfupi manii zinachuruzika ukeni kwake zinatoka yaani hazikai je hii ni hali ya kawaida? Maana kinachonipa wasiwasi hata nikikutana naye siku zake za hatari hashiki mimba, shida inaweza ikawa ni nini?
Nendeni mkafanye vipimo braza, matatizo ya kutoshika ujauzito yako na variety of causes hutajua kipi ni kipi mpaka ufanye vipimo.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom