Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi


AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,243
Likes
347
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,243 347 180
Habari wana JF,

Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika baadhi ya threads.

Hii ni moja ya njia ya utatuzi wa kupunguza idadi za Sticky's katika Jukwaa.

ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu sehemu za siri: Dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

Punyeto: Nini madhara yake?

Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?
Kufanya ngono wakati wa hedhi

Uume kusinyaa

Homa ya Degedege Ni Nini?


Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!

Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Ugonjwa wa Vidonda Vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

Fahamu matumizi na faida za asali katika afya ya binadamu

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

Njia gani za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe?

Kuchutama (Squatting) Njia Salama ya Kwenda Haja

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Tatizo la uke kutoa harufu kali | Vaginal Odor(smell)

Fahamu kuhusu Mabusha (Hydrocele)

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Tohara na UKIMWI

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Chembe ya moyo ni nini? Inatokana na nini?

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

UHANITHI baada ya kitovu cha mtoto kukatika na kudondokea sehemu zake za siri

Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara

Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

Mwanaume kuwa na sauti nyembamba, kuota matiti, kuwa na mahips/wowowo yaliyotuna

Tatizo la kutoshika mimba

Kifafa cha mimba

Je shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Kutokwa Damu kwenye Fizi: Ni ugonjwa au Ukosefu wa vitamini?

Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness)

Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

Msaada: Nifanyeje niache kujichua/kupiga punyeto

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Kuzamia Chumvini si Kuzuri?
Maumivu makali ya tumbo wakati wa kuanza hedhi (period)

Wanawake: Tatizo la Kutokwa na Uchafu Ukeni na jinsi ya kukabiliana nalo

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)...

Harufu mbaya mdomoni (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake

Ulaji wa Pilipili: Faida na athari zake

Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua

Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

Pata elimu kuhusu ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri (Bawasiri, Hemorrhoids)


Pamoja Sana,

AshaDii.
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
529
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 529 280
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,433
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,433 280
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
Mkuu ZeMarcopolo Ni kweli unayoyasema mimi wengi ninawapa ushauri wangu lakini wakisha pona hawaji kuleta Feedback ndio walivyo Wa-Tanzania matatizo yao wakishapona tu wamesahau wapi waliposhauriwa mpaka kupona waonee huruma hawa Wa-Danganyika mkuu wasamehe hawajuwa watendayo kwani Tabia haina dawa.
 
M

MadamG

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
126
Likes
7
Points
35
M

MadamG

Senior Member
Joined Feb 1, 2013
126 7 35
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
wakati mwingine sio kuwa tunakimbia la hasha tunaufanyia kazi ushauri wenu na uwa hatukati tamaa ndio maana tunasubiri kwa muda mfano mi mmenisaidia siku ya kupata mimba nimeanza kuulizia toka mwz wa 2 mwezi wa tano ndio nashika mimba unaona muda unavyokuwa mrefu wa kusubiri majibu ila sijawasahau maana ndio ya kwanza nashukuru.
Pia naomba tena ushauri jinsi ya kuutunza maana ni ya kwanza
 
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
3,035
Likes
964
Points
280
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
3,035 964 280
Safi sana maana hizi nyuzi zilivyokusanywa na kuwekwa kitaalam nimeipenda maana huhangaiki saana kutafuta
 
D

dadazuu

Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
46
Likes
0
Points
0
D

dadazuu

Member
Joined Dec 31, 2013
46 0 0
Yani shukrani sana kwa kutuwekea short cut ya kupata ushauri wa matatizo mbalimbali.
 
D

dadazuu

Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
46
Likes
0
Points
0
D

dadazuu

Member
Joined Dec 31, 2013
46 0 0
Msaada tafadhali... Wakati wa MP Binti yangu anaumwa sana anapata homa anatapika anaharisha si chini ya siku 4. Msaada niangalia nyuzi ipi? Asantee
 
N

Nando

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
4,888
Likes
1,553
Points
280
N

Nando

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
4,888 1,553 280
Hapo mmefanya jambo jema sana mtu hawezi hangaika kuulizia huku huku na huko
 
M

mahesa

Senior Member
Joined
Jan 5, 2013
Messages
110
Likes
14
Points
35
Age
18
M

mahesa

Senior Member
Joined Jan 5, 2013
110 14 35
kuna jamaa yangu hana tatizo la kutokwa na malenge lenge kwenye sehemu za siri tunamsaidiaje mtu huyo.
 
Kigwema

Kigwema

Member
Joined
Oct 29, 2014
Messages
50
Likes
13
Points
15
Kigwema

Kigwema

Member
Joined Oct 29, 2014
50 13 15
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
Nitafute pia direct kwa namba 0655951332
AHSANTENI
 
Kigwema

Kigwema

Member
Joined
Oct 29, 2014
Messages
50
Likes
13
Points
15
Kigwema

Kigwema

Member
Joined Oct 29, 2014
50 13 15
[jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema, wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti. Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee! Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la huo mmea hata uje na bilioni.
 
N

Nando

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
4,888
Likes
1,553
Points
280
N

Nando

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
4,888 1,553 280
Hii thread imenipa mwanga sana
 
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Messages
4,244
Likes
2,464
Points
280
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined May 20, 2012
4,244 2,464 280
Huu uzi unahitaji kuwa updated ili kuongeza magonjwa mengine yaliofafanuliwa

Cc: AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Y

yusuphfanuel

New Member
Joined
Oct 29, 2015
Messages
1
Likes
0
Points
0
Y

yusuphfanuel

New Member
Joined Oct 29, 2015
1 0 0
Matumb makubwa kwa wanaawake husababishwa na nn
 

Forum statistics

Threads 1,262,349
Members 485,558
Posts 30,120,958