Miili ya wanajeshi 14 waliouawa DRC yawasili katika uwanja wa ndege wa jeshi, kuagwa Lugalo Alhamis Desemba 14

Ndio tujifunze......tuko vitani na wapinzani wetu vitani ni majirani zetu ambao eti ghafla ni marafiki wa kutusaidia mawazo kuendesha nchi na usalama! Kweli??? Urafiki wa mashaka.......na PK
Shika adabu yako na ujitafakari.
 
Duh inasikitisha, na kama unandugu au mtu unayemfahaamu alikua kwenye hyo mission inaumazaidi..
R.I.P mashujaa wa Tanzania
 
Bora umenote. Uhuru keshatuma salamu kitambo lakini Kagame na Mseven hawajajigusa hadi sasa. Uhuru anajaribu ku-conciotize Tanzania kuhusu Rwanda na Uganda lakini Tanzania imeweka pamba masikioni
 
itakuwa wali relax na kuweka ulinzi mdogo wa kujihami. Pia inawezekana waasi walisha wa study kwa kina, idadi yao wapo wangapi? wana siraha gani za kujilinda na taadhari yao ipoje? kwa hiyo wakawavamia kwa wingi na silaha nzitonzito walizoshindwa kumudu. UN inatakiwa ilinde askari wetu au la tuwarudishe nyumbani. Maana japo ni wa tz lakini kule wapo chini ya maagizo ya UN, kwaiyo UN iengeze ulinzi na intelijensia ya eneo la kuweka kambi kabla na baada ya kuwaweka askari wetu hapo.
UN iwalinde wanajeshi na jeshi lilinde amani? Quarrilla war ni ngumu sana kwa sababu ni ngumu kumjua adui so kikubwa ni wanajeshi kujiweka katika hali ya vita mda wote zamu za ulinzi ziimarishwe ili ikitokea ambush kama hii tuwafyeke maadui ndani ya muda mfupi
 
Inaumiza sana. Wacongo sijui banyamulenge mbona kutufanya hivi wenzenu? RIP Watanzania wenzetu Poleni wafiwa wote!
 
Hii habari imeniuma sana , any way basi Congo ni jirani zetu waaasi wasituuumize hivi.
 
Walinda amani.....kuna muda wanarudi kambini...kila mtu anaenda chumba chake...silaha wanarudisha kwenye chumba maalum.....hadi ukiwa zamu kwenda doria......hawa wamestukizwa kambini kwao...wakiwa na ndala wengine wanapiga story wako kiraia.......sio rahisi kupambana ukiwa mikono mitupu....wachache sana walikuwa lindo wakasaidia ila waasi walikuwa wengi na walijipanga!!! Kumbuka hawa hawajaenda kupigana na adui wao wanalinda amani....wale adui wasije mjini kufanya fujo....wanasaidia jeshi la DRC.....naamini umepata picha!!
Nmekuelewa vema mkuu, ... Ila waasi hawa umoja wa mataifa wameshindwa kuwatoa ?

Mbona Gaddafi , Saddam Hussein waliwatoa? Naumia sana umoja wa mataifa kutuchonganisha tiwindane sisi kwa sisi
 
Wanajesh 14 ni wengi sana ..tunaambiwa 44 wanejeruhiwa vibaya...sasa walikuwa wamelala ama vip
Hilo swali hata mimi nimejiuliza sana. . Cha kusikitisha zaidi niliangalia clip ya Ostela maridhika ripota wa itv drc , wale wahuni wameuwa na kujeruhi askari wetu wengi na kuteketeza kambi tote kwa moto walimokuwa vijana wetu.

OK, inauma sana hata kama angepotea mpiganaji wetu mmoja maana ni nguvu tunayoihitaji.

Ningefarijika zaidi kama ningeoneshwa mizoga angalau 30 ya hao mbwa wa kinyamulenge.

Najiuliza pia kwa nini jwtz ndio wanakuwa target muhimu kuliko wengine

Najiuliza nguvu walimokuwa nayo hao adf

Shambulio hili linaonyesha kazi kubwa iliyoko mbele yetu kule drc yawezekana hatukufahamu kwa undani weledi nanguvu za adui yetu.

Pumzikeni kwa amani mashujaa wetu na Mungu awape nafuu majeruhi wote .
 
Mapigano yalidumu kwa muda wa masaa 13, upande wetu tukapigwa.. Wanajeshi 14 wameenda na maji wao hakuna alie kufa, Daah! Napata muda mgumu sana kutathimini weledi wetu wa kijeshi ulivyo mdogo.
R. I. P brothers!!
 
Back
Top Bottom