Miili ya wanajeshi 14 waliouawa DRC yawasili katika uwanja wa ndege wa jeshi, kuagwa Lugalo Alhamis Desemba 14

Wanajesh 14 ni wengi sana ..tunaambiwa 44 wanejeruhiwa vibaya...sasa walikuwa wamelala ama vip
Walinda amani.....kuna muda wanarudi kambini...kila mtu anaenda chumba chake...silaha wanarudisha kwenye chumba maalum.....hadi ukiwa zamu kwenda doria......hawa wamestukizwa kambini kwao...wakiwa na ndala wengine wanapiga story wako kiraia.......sio rahisi kupambana ukiwa mikono mitupu....wachache sana walikuwa lindo wakasaidia ila waasi walikuwa wengi na walijipanga!!! Kumbuka hawa hawajaenda kupigana na adui wao wanalinda amani....wale adui wasije mjini kufanya fujo....wanasaidia jeshi la DRC.....naamini umepata picha!!
 
Ndio tujifunze......tuko vitani na wapinzani wetu vitani ni majirani zetu ambao eti ghafla ni marafiki wa kutusaidia mawazo kuendesha nchi na usalama! Kweli??? Urafiki wa mashaka.......na PK
jeshi limesema linachunguza mazingira ya tukio, na ni njama za PK jeshi lina source zake za habari litajua na kama ni kweli na uhakika litamshugulikia kimyakimya au waziwazi. Na pia PK kama kweli anacheza hii michezo hamjui JPM akimshtukia na kumgeukia itakuwa zaidi ya ile operation kimbunga ya JK.
 
ndio analindwa; kama ukimuweka katika kambi hatarishi na ambayo ni rahisi kushambuliwa na maadui unakuwa umemuweka mazingira hatarishi na utakuwa haujamlinda
Nina vyojua wanajeshi wanajilinda wenyewe.
Kama w alikuwa na mawazo kama yako ndo maana wameuawa.
KULE NI VITANI.
Japokuwa tunadanganywa wanakwenda kulinda Amani.
Wale wapo VITANI. Kikinuka wanatakiwa pambanane.
Kulinda Amani sio kushika bunduki kama fimbo.
 
Tunaomba majina yao, kuna Classmate wangu mara ya mwisho kuwasiliana naye alikuwa Congo kwenye kulinda amani.

Baada ya mtafaruku huu sijampata kabisa, na wala wenzangu hawajampata pamoja na juhudi kubwa sana za kumtafuta.

Hivyo tuna wasiwasi juu ya Usalama wake.
 
Katika shambulio kama hili inawezekana kuna askari asiye mtiifu anatoa taarifa za kambi kwa waaasi ...ikiwemo idadi ya askari, aina za silaha,geographical location ya kambi nk. Mara nyingi mtu wa aina hii Mpaka mje mumtambue/kumgundua mnakua mshaumia sana na ningumu kumbaini
 
RIP our beloved soldiers...vita mmevimaliza na mwendo mmeulinda. Mpaka tutakapokutana tena Amen
 
Katika shambulio kama hili inawezekana kuna askari asiye mtiifu anatoa taarifa za kambi kwa waaasi ...ikiwemo idadi ya askari, aina za silaha,geographical location ya kambi nk. Mara nyingi mtu wa aina hii Mpaka mje mumtambue/kumgundua mnakua mshaumia sana na ningumu kumbaini
Huyu akipatikana sipatii picha adhabu yake... hata gerezani inakua haitoshi
 
Katika shambulio kama hili inawezekana kuna askari asiye mtiifu anatoa taarifa za kambi kwa waaasi ...ikiwemo idadi ya askari, aina za silaha,geographical location ya kambi nk. Mara nyingi mtu wa aina hii Mpaka mje mumtambue/kumgundua mnakua mshaumia sana na ningumu kumbaini
Huyo askari lazima atakuwa ni muumini wa ukawa. Hao ndio wanaomba majanga yalikumbe taifa kila kukicha.
 
Hali inasikitisha sana, msiba huu ni wa Taifa zima.
Hiyo video clip hapo juu sio ya tukio la leo mkuu kirerenya.
Mimi niko hapa uwanjani kupokea miili ya wapiganaji wenzetu. Mungu azilaze Roho za Marehemu wote mahala Peponi...Amina.
Poleni Watanzania wote kwa ujumla.
 
Hao waasi walio uawa maiti ziko wapi?

Kama hazipo utasemaje umewaua?
Au walikuwa ghosts.
Walipata wapi muda wa kuzibeba huku wakishambulia?

Ina maana walikuwa 200+……?

Any way hao wawili wall chukuliwa mateka? Ngoja wawatafte.

Ee Mungu simama nao usikute wapo mahali Fulani wanateswa.....

Yu wapi GENTAMYCINE atupe uchambuzi?
 
Back
Top Bottom