Miiko ya wafu na kaburi

Miiko ya wafu na kaburi

Hivi kaburi likichimbwa likanyeshewa likawa na maji inakuaje tunaweka hivo hivo au tunaahirisha
 
Kitu nachojua kama marehemu anakujia mara kwa mara unapokuwa ndotoni ndiyo kunakuwa na tatizo hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom