X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Wanaruhusiwa mkuu kukitafsiri kwa lugha waipendayo... Tena itakuwa safi sana kama watafsiri kama kilivyo na ndipo hapo utakuja kugundua siri iliyokuwemo ndani ya hicho kitabu.... AYA ZA SHETANI (The Satanic Verses). Je Wakristo wakiamua kutafsiri kile kitabu na kuanza mihadhara patakalika kweli? Nadhani Wakristo waendelee kuwa watulivu ili kulinda amani. Ila ingekuwa vema viongozi wa juu wa serikali wakakemea mambo haya. Au nao wanayafurahia?
Pole mkuu kwa maswahibu hayo.... wale wote wanao ona kuwa wanasumbuliwa na hiyo mihadhara wana haki kwenda kutoa ripoti vituo husika (Polisi) nadhani watapata msaada kutoka uko na si kukaa kaa tu na kulalamikia pembeni bila kuchukuwa hatua mwafaka.