Ifike hatua waislam tupige marufuku mihadhara ambayo si ya kidini ila inatumia jina la kiislam

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Asalam aleykum, niende moja kwa moja kwenye mada.

Siku hizi kumeibuka utitiri wa wahubiri wanaojiita ni wa kiislam, wanaitisha Mihadhara kwa kivuli cha dini, utasikia wanatoa wachawi, wanauza dawa, wanatoa kinga za kichawi, mwisho wa siku wanaomba michango.

Huu sio utararibu wa kiislam na wala uislam haujaelekeza hivyo. Ifikie hatua Bakwata ambacho ndio chombo kinachoaminiwa na serikali kwamba ndio wasemaji wa waislam wapige marufuku mihadhara hii.
 
Kuna wapuuzi wanatumia haki za Dini vibaya Sana , ona ukristo ulivyoharibiwa Kwa wapuuzi kujifanya mitume Hadi mashoga sasa hivi ni mapadri.

Huu ujinga unataka kupelekwa kwenye uislam tanzania. Kuna sheikh mmoja Naona na yeye anauza Hadi mafuta na watu wanakanyaga Hadi mafuta.

Ujinga sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wasipofanya hizo sarakasi watatukaba huku mitaani.
 
Kuna wapuuzi wanatumia haki za Dini vibaya Sana , ona ukristo ulivyoharibiwa Kwa wapuuzi kujifanya mitume Hadi mashoga sasa hivi ni mapadri.

Huu ujinga unataka kupelekwa kwenye uislam tanzania. Kuna sheikh mmoja Naona na yeye anauza Hadi mafuta na watu wanakanyaga Hadi mafuta.

Ujinga sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hao ni wachawi kama wachawi wengine
 
Asalam aleykum,
Niende moja kwa moja kwenye mada
Siku hizi kumeibuka utitiri wa wahubiri wanaojiita ni wa kiislam, wanaitisha Mihadhara kwa kivuli cha dini, utasikia wanatoa wachawi, wanauza dawa, wanatoa kinga za kichawi, mwisho wa siku wanaomba michango
Huu sio utararibu wa kiislam na wala uislam haujaelekeza hivyo
Ifikie hatua Bakwata ambacho ndio chombo kinachoaminiwa na serikali kwamba ndio wasemaji wa waislam wapige Marufuku Mihadhara hii
Manabii na mitume wa upande huo kama wale wa upande mwingine
 
Umesema kweli hili haya mambo ni ya kukemea kabisa, na mbaya zaidi mambo ambayo yamefungamana na shirki ambayo yanamtoa mtu katika Uislamu kabisa.

Na kingine pia jamii yetu inahitaji kuelimishwa maana watu wanawakimbilia wakiamini yale ni mambo ambayo yapo katika dini, kumbe ni uzushi na ushirikina.

Inasikitisha sana.
 
Kuna wapuuzi wanatumia haki za Dini vibaya Sana , ona ukristo ulivyoharibiwa Kwa wapuuzi kujifanya mitume Hadi mashoga sasa hivi ni mapadri.

Huu ujinga unataka kupelekwa kwenye uislam tanzania. Kuna sheikh mmoja Naona na yeye anauza Hadi mafuta na watu wanakanyaga Hadi mafuta.

Ujinga sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huu ujinga ni wa kukemea kabisa.
 
Mngekuwa mnawakoromea na wale wajinga wa Al Qaeda, ISIS, Al Shabab na Boko Haram ingesaidia sana maana nao huwa wanaupaka matope Uislamu. Mara nyingi utakuta wamefanya shambulizi na wakati mwingine dhidi ya wanawake na watoto wasio na hatia halafu husikii condemnation yo yote kutoka kwa organizations au nchi za Kiislamu na waislamu kwa ujumla. Hili jambo huwa linanishangaza sana!
Hili si ndio tuanapiga kelele kila siku kuwa yanayofanywa na hivyo vikundi yako mbali na Uislamu.

Na hayo ya kutoa matamko tunawaachia wenye mamlaka.
 
Kuna wapuuzi wanatumia haki za Dini vibaya Sana , ona ukristo ulivyoharibiwa Kwa wapuuzi kujifanya mitume Hadi mashoga sasa hivi ni mapadri.

Huu ujinga unataka kupelekwa kwenye uislam tanzania. Kuna sheikh mmoja Naona na yeye anauza Hadi mafuta na watu wanakanyaga Hadi mafuta.

Ujinga sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[ Nani kakudanganya kuhusu Ukristo??

Philippians 1:15,18
[15]Wengine wanahubiri habari za Kristo kwa sababu ya husuda na fitina; na wengine kwa nia njema.

[18]Yadhuru nini? Lakini kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anahubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.

Muanzilishi wa Ukristo Alishinda hadi kifo na Kusema!

Matthew 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Ewe taahira nitolee upuuzi wako,

Shwain

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani si jambo la muda tu mbona tutayaona mengi tu sio kwa waislamu sio kwa wakristo
 
Em fikiria kipindi Muhamad anaanza kukusanya mihadhara, serikali ya Saudia ingempiga marufuku hivi, uislam ungekuwepo?
Hiki ulichandika kinaonyesha ni jinsi gani umekurupuka kuandika tu wala hukufikiria.

Kinachokemewa hapa kinakwenda kinyume na Uislamu, halafu wewe unalinganisha na jambo ambalo limehuisha Uislamu.

Lakini usichokijua pia ni kwamba, Washikina wa Makkah hawakuwahi kumruhusu Mtume kuutangaza Uislamu walikuwa wakimpoga vita Usiku na mchana, na pamoja na hivyo Uislamu Ulisimama kwa idhni ya Allah.
 
Asalam aleykum,
Niende moja kwa moja kwenye mada
Siku hizi kumeibuka utitiri wa wahubiri wanaojiita ni wa kiislam, wanaitisha Mihadhara kwa kivuli cha dini, utasikia wanatoa wachawi, wanauza dawa, wanatoa kinga za kichawi, mwisho wa siku wanaomba michango.

Huu sio utararibu wa kiislam na wala uislam haujaelekeza hivyo
Ifikie hatua Bakwata ambacho ndio chombo kinachoaminiwa na serikali kwamba ndio wasemaji wa waislam wapige Marufuku Mihadhara hii
Kwani ina tofauti gani na muislamu kukamuliwa mavi akifa aingie peponi akiwa msafi????

Si bora iyo yakutoa wachawi kuuza dawa kuliko kukamuliwa mavi ukifa?
 
Hiki ulichandika kinaonyesha ni jinsi gani umekurupuka kuandika tu wala hukufikiria.

Kinachokemewa hapa kinakwenda kinyume na Uislamu, halafu wewe unalinganisha na jambo ambalo limehuisha Uislamu.

Lakini usichokijua pia ni kwamba, Washikina wa Makkah hawakuwahi kumruhusu Mtume kuutangaza Uislamu walikuwa wakimpoga vita Usiku na mchana, na pamoja na hivyo Uislamu Ulisimama kwa idhni ya Allah.
Kwahyo ingekuwa kipindi kile wewe ungekaa upande wa washirikina wa Makka kumpinga muhamad eti??

Em wapeni watu uhuru wa kutangaza imani zao bana acheni udikteta.
 
Asalam aleykum,
Niende moja kwa moja kwenye mada
Siku hizi kumeibuka utitiri wa wahubiri wanaojiita ni wa kiislam, wanaitisha Mihadhara kwa kivuli cha dini, utasikia wanatoa wachawi, wanauza dawa, wanatoa kinga za kichawi, mwisho wa siku wanaomba michango.

Huu sio utararibu wa kiislam na wala uislam haujaelekeza hivyo
Ifikie hatua Bakwata ambacho ndio chombo kinachoaminiwa na serikali kwamba ndio wasemaji wa waislam wapige Marufuku Mihadhara hii
Dini imeharibu Akili za waafrika wengi sana.
 
Back
Top Bottom