Mihadhara ya kidini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mihadhara ya kidini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwalimu, Nov 9, 2009.

 1. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hivi mihadhara ya kidini imeruhusiwa tena? Huku mtaani kwetu kwa muda wa wiki nzima sasa kumekuwa na mihadhara inayoendeshwa kila siku jioni na waumini wa dini moja wakichambua kitabu cha dini nyingine....
   
 2. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani hiyo ni mitaa ya magomeni na manzese si ndiyo? na hao ni waislam wanachambua the holy BIBLE. That is lack of confidence.
   
 3. P

  PR Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata huku tabata wapo. jamaa wana makelele kweli mpaka wanaudhi.
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mitaa ya kunduchi mtongani wapo wengi tu...
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  wapo kila kona ya jiji, nafikiri masaki na oysterbay ndo hawapo hao. Wanaacha kuwahubiria waumini wao wapate kuwa watu wema zaidi; wao wanajisumbua tuu! makelele. Hawa majirani zetu sijui vipi
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kitunda-Shule pia wapo hawa!
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hiyo ni ya hawa watoto wa housegirl ishmael, yaani waislam. unajua, wanapata shida sana,dini yao haieleweki, na hiyo ndiyo mikutano yao ya unjili..hahaha. waacheni wafanye wanachofanya tu. unajua wanavyozidi kufanya hivyo, ndivyo wanavyoianika vizuri dini yao ya ajabu. wanafikiri wanaunguzia mtu kitu kumbe wanaunguza na inakula kwao. unaweza ukacheka hadi ukachoka, watu wanapoteza muda kuongea mambo wasiyoyajua kuhusu Bible. wanahangaika, hawana confidence, ndio maana wakiona Jina la Yesu Kristo wa Nazareth limetajwa, wanakimbia, wanalipuka mapepo. wafuga majini hawa wana shida kweli.
   
 8. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hata huku kwetu kijijini wapo lakini hawapati watu kwenye mihadhara yao wanakuwa wenyewe na vipaza sauti vyao.
   
 9. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nilipita last week KIMARA BARUTI nkawakuta pia, ukiwaangalia wenyewe tu inaonyesha hata kula yao ni tabu, yani vumbi miguuni huku wamevaa yeboyebo, kazi kwelikweli....wakitaitishwa huwa wanamfukuza mzungumzaji...hahhaah jamaa confo 'F' kabisa. kwanini msizungumze jinsi ya kuwaepusha waumini wenu na hizi dhambi zinazotutafuna kila siku? kwanini msichukue mda hata kuzungumzia koran inasemaje juu ya kukuza uchumi? ss mnapoteza mda kuponda dini za wenzenu na vitabu vyao at the same time mnasema mnamgundua yesu kama mtume, na wakati huohuo pia mnasema ALLAH amekataa watume wake kutukanwa akiwepo yesu. dont u see tht kuna tatizo hata la uelewa wa hawa watu wenu...yani simple logic kama hiyo inawashinda...alafu ikiisha mnaacha shari tu kwa waumini wenu wa hilo eneo kwa sababu wanaonekana kama ni wanafki kumbe yawezekana hata hawahusiki na hilo.....try to find another solution bana....
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Wakuu,
  Mbona mnakuwa hivyo...watanzania tunaongozwa na sheria na katiba whatsoever,kama sisi hapa JF tuanavyo enjoy uhuru wetu wa kikatiba wa kujieleza na wao kadhalika wanatumia haki kama hiyo ya kikatiba kama watanzania wengine ya kujikusanya na kuhubiri...hawavunji sheria yoyote,mbali na nyinyi kupata maudhi...si vumilieni tu, waacheni wa enjoy uhuru wao wa kutangaza dini yao na imani yao kama nyinyi mnavyo enjoy uhuru wenu wa kujieleza na kutoa maoni hapa JF...mnafikiri watu hawaudhiki na mashambulizi na matusi ya JF...si wanavumilia tu...au?
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni ufinyu wa mawazo kuzungumzia vitabu vya dini za watu wengine. Watu wa aina hii maendeleo yao huwa duni sana kwa sababu wanakufuru na Mungu anawalaani. Nawasifu wafuasi wa dini ya Kikristo kwa uvumilivu wao. Nadhani ingekuwa Wakristo ndio wanaichambua Quran ingekuwa tumeshachinjana siku nyingi. Hebu kumbuka walivyotaka kumwangamiza yule mwandishi wa AYA ZA SHETANI (The Satanic Verses). Je Wakristo wakiamua kutafsiri kile kitabu na kuanza mihadhara patakalika kweli? Nadhani Wakristo waendelee kuwa watulivu ili kulinda amani. Ila ingekuwa vema viongozi wa juu wa serikali wakakemea mambo haya. Au nao wanayafurahia?
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Nov 9, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Miaka ya tisini kulikuwa na kikundi cha mihadhara cha BIBLIA NI JIBU, sijui kama bado wapo au la! Walipoanza mihadhara Boko Haram kama kawaida yao walikuja juu sana na kuna wakati walianza kurusha mawe! Kama unakaa kwenye nyumba ya vioo ujiepushe kurusha mawe! Hiyo Quran yenyewe ikichambuliwa inaonekana bomu hata kuliko magazeti ya udaku!
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wote waongo tu hao, hamna mungu wala dini kwenye hivi vitabu.Dini ya kweli ni dini ya kutokuwa na dini na kufanya mema kwa ajili ya kufanya mema.
   
 14. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #14
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ahahahahahhaa i like that. Mema ni kuwafanyia au kuwatendea wenzio yale ambayo hutapenda kufanyiwa. Kama hupendi kutukanwa, usitukane. Hupendi kupigiwa makelele usipige makelele, hupendi kuliwa tigo usile tigo etc etc. Hapo maisha yatakua mazuri mno kupita maelezo
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi mihadhara ya kidini imeruhusiwa tena?
  Jibu: Ilikatazwa lini? na sheria ipi?
  Huku mtaani kwetu kwa muda wa wiki nzima sasa kumekuwa na mihadhara inayoendeshwa kila siku jioni na waumini wa dini moja wakichambua kitabu cha dini nyingine.
  Jibu: una wasiwasi na kitabu chako kuchambuliwa..umekuwa nahofu kama nini?
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Nov 9, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Pole!
   
 17. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bibilia ni jibu wako mpaka leo..wanashirikiana na Mtikila, na wenzake..wengi wameokolewa kutoka kwenye upofu wa ukristo kwa mihadhara hii mungu awajaalie afya njema..
  Hakuna muislamu ataogopa kujadiliana mambo ya dini (vitabu vyote) waoga ni wakristo sasa wanataka kuomba serikali (polisi) iwasaidie kutangaza dini kama wanavyofanya huko iraq..dini kwa mabomu kujadiliana hawana hoja?
   
 18. A

  AM_07 Member

  #18
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukiwasikiliza utagundua umuhimu wa kwenda shule sio lazima uajiriwe, wanachooongea pointless, literature review plus zero ( 0+) yaani ni choka mbaya,
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Nov 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pole mkuu ubungoubungo, nadhani unakubaliana pia kuwa Isaka alizaliwa kutokana na Ibarhimu kumuoa dadake wa baba mmoja (kwa mujibu wa bibilia)... sasa sijui kwa style hii unafurahia pia au ili ulitaki?
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=qwkOeGvJdd4&feature=related[/ame]
   
Loading...