Miguu ya bia

Dada nn shida yote!

Si afadhali weye unayo hata miguu!

Hivi unavyoidharau na kuichukia miguu yako kiasi cha kutaka kuibadili unakuwa unawaweka akilini ndugu zetu walemavu wa viungo wasio na miguu kabisa!

Jamani mbona tunamjaribu Mungu?

Mi nafahamu shida yako ; umemwagwa na ka_Bf ambako sasa kanatembea na msichana mwenye miguu ya bia sasa nawe unatafuta namna ili arudi kwako!

msahau kabisa huyo kiruka njia hana thamani ya kukufanya uharibu uasilia wako na kujichukia namna hii; Mbona wewe ni mzuri tu na miguu yako ni ya kwaida kabisa kwa binadamu?
 
Dada nn shida yote!

Si afadhali weye unayo hata miguu!

Hivi unavyoidharau na kuichukia miguu yako kiasi cha kutaka kuibadili unakuwa unawaweka akilini ndugu zetu walemavu wa viungo wasio na miguu kabisa!

Jamani mbona tunamjaribu Mungu?

Mi nafahamu shida yako ; umemwagwa na ka_Bf ambako sasa kanatembea na msichana mwenye miguu ya bia sasa nawe unatafuta namna ili arudi kwako!

msahau kabisa huyo kiruka njia hana thamani ya kukufanya uharibu uasilia wako na kujichukia namna hii; Mbona wewe ni mzuri tu na miguu yako ni ya kwaida kabisa kwa binadamu?
ahsante kwa kunipa hope tatizo my husband wangu kila akiona mwanamke mwenye miguu ya bia lazima ataangalia na kusifia
 
Nivigumu sana kuijaza miguu yako usioipenda.Elewa kuwa Mungu wetu ni waajabu,kakunyima mguu lakini kuna kitu kakupa ambacho wengi wanatamani lakini wamekosa.Ridhika na ulichonacho?KWANZA? mbona wapo wengi tu wanaopenda miguu ya fito? na wengine wakiona mtu mwenye matege anaanza kupenda hadi anachanganyikiwa. HATA hivyo,waweza vaa nguo pana chini na ndefu. HII ITAKUPA KUJIAMINI ZAIDI. Pia kama ni kukomaa miguu epuka kutembea mwendo mrefu kwa miguu na epuka viatu vyenye visigino virefu. HAYA NI MAWAZO YANGU BINAFSI.
ahsante kwa ushauri wako pia ubarikiwe ila umeniacha hoi kwa hao wanaopenda matege mpaka wanachanganyikiwa au unanipa hope?
 
Unaweza kuijazia kwa kuwekewa silicone kama ile inayowekwa kwenye matiti na makalio. Lakini tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi, hujikubali. Ask God to give you the serenity to accept the things you can not change, it is much better than plastic surgery.
 
Hili nalo neno! Ni kwanini kama huitaki na unaona haina msaada kwako ambao Mungu alipanga tafadhali ikate tu kuliko kifanya unavyokataka?
 
Wewe nawe una madubwana kweli! Unataka uwe na miguu ya chupa ya bia ili iweje? Ridhika na uumbaji wa Mungu. Watu mbona mnatafuta makuu? Haya, nenda kwa wachina wakayavimbishe ushindwe na kutembea, ndio utakumbuka fito zako ulizozikataa hapo mwanzo. Duh!
 
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi

Kwani ya sasa ikoje?...Spoku(myembamba kama spoku za baiskeli/pikipiki)?...ama???......Jiamini mkuu...Ridhika na ulivyoumbwa...
 
jaribu kuipenda miguu yako, utaiona ipo bomba tu. kama inashindikana, jipigie masuruali na long skirts
 
hivi kazi ya miguu ya BIA ni nini? Nikidhani bia zatiwa kwen chupa.......
 
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi

Mkuu Kibonde,
Yaani wewe unaongelea miguu ya bia wakati kuna walioumbwa hata miguu ya kutembelea hawana? Mungu kakupendelea halafu unataka kumkosoa? Kiwete anatamanai hata angepewa miguu kama ya bata au kuku angalao atembee!!! Funga macho tizama mlemavu wa miguu ambaye anasota chini na makalio! Usimkosoe Mungu!!! Adhabu yake ni kubwa sana!

Kama hutaki basi nenda kanunue miguu uchinani, ila tu usije ukapata ya matende!!!! Be proud of who you are, physically and mentally!!!
 
Pole sana mie napenda kila kitu kwenye mwili wangu ..elewa ukiupenda mwili wako na ukajiamini mwenyewe hutaumiza kichwa chako
 
Ah jamani, hebu mwogope muumba dada, i cant get it! yani mwanaume ndo anakufanya upate presha zote hizo za kutaka uwe na miguu ya bia wakati huna? angalia dada yangu, leo itakuwa miguu, kesho itakuwa hips, na utahamia kwenye maziwa na uso, mwishowe unakuwa fake mwili mzima....rafiki zangu waganda wanaita chiwani. Baada ya hapo akishakuona chiwani anatafuta mwingine kwa kigezo cha nataka natural woman, sijui utafanyaje tena. achana na hawa viumbe, huwa hawaridhiki my dia, be yourself and create confidence in you, you are unique and beautiful in your own way.
 
Pole sanaa mama...yani matatizo ya mmeo kutamani miguu ya bia wewe unaugua na kuanza kuhangaika kutafuta miguu ya bia...pole sana kwa upeo mdogo ulio nao wa kufikiria...napata hisia kuwa wewe ndio waleee watanzania wavivu wa kufikiri aliowasema mh. Ben mkaahapa...hayo matatizo ni ya mmeo na sio yako...

Mwache yeye atafute miguu ya bia wewe kaa na yako ya soda...afterall inawezekana ni wewe ndio ulimtongoza na kulipia mahari ukamuoa...sasa anataka kukukimbia unachanganyikiwa...ahgahahaaaaa...pole sana...chukua hatua na fikiri akwa upeo sahihi....kwa hiyo ukishapata miguu ya bia ndio mmeo hatawaangalia tena wenye miguu ya bia....ataangalia wenye makalio makubwa..inye plus...navyokujua utajiboost na mitishamba ya kichina...then ataangalia wenye super boobs...nayo najua wewe utaji-boost pia...last ataangalia wenye bikra za uani...kisha ataanza kukukula tigo...pole sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom