Miguu ya bia

kobonde

Senior Member
Jan 6, 2010
154
19
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi
 
Miguu hiyo watu huzaliwa nayo...sidhani kama kuna dawa ya kuifanya ,miguu kama chelewa kuwa kama chuoa ya bia.labda ujaribu zile za kichina..
 
Nivigumu sana kuijaza miguu yako usioipenda.Elewa kuwa Mungu wetu ni waajabu,kakunyima mguu lakini kuna kitu kakupa ambacho wengi wanatamani lakini wamekosa.Ridhika na ulichonacho?KWANZA? mbona wapo wengi tu wanaopenda miguu ya fito? na wengine wakiona mtu mwenye matege anaanza kupenda hadi anachanganyikiwa. HATA hivyo,waweza vaa nguo pana chini na ndefu. HII ITAKUPA KUJIAMINI ZAIDI. Pia kama ni kukomaa miguu epuka kutembea mwendo mrefu kwa miguu na epuka viatu vyenye visigino virefu. HAYA NI MAWAZO YANGU BINAFSI.
 
Mola akusamee wewe unayekosoa uumbaji wake.! ni ajabu sana binadamu unashindwa kujikubali vile muumba alivyofanya kazi yake kukuandaa kabla ya wewe kuwepo hapa duniani, fikiria ndg yangu siku utakarudi kwa mola wako unaanza kuvishwa sanda mpaka unawekwa kaburini, kisha utakutana na maswali kama kwa nini ulinikosoa mie muumba wako kwa kujibadilisha vioungo nilivyokujaalia nawe ukaona havistahili kuwa vile nilivyoviumba? jiulize kwa makini, ogopa sana kukutana na mola wako hali ya kuwa umekasirikiwa naye. hebu jiulize huu usiku na mchana kwa jinsi unavyokuwa nawe pia usingizi unaolala usiku hivi kweli unashindwa kuikubali hali ya kuumbwa kwako.
mi nakuombea sana kwa mungu akutolee mawazo hayo nawe uwe muongofu usije ukaidhulumu nafsi yako kwa kutenda vile ambavyo Mungu hataki vifanywe.
 
Mi nina hiyo nimguu nimeridhi kutoka kwa mama yang wangu kifupi tuu hata mtoto wangu naye nimemridhisha...ni ya kuzaliwa! nakuasa usije tumia za kichina dada...ridhika kama ulivyo swali ukiwa nayo utaifanyia nini???
 
jamani ....mbona wale wanaotia dawa nywele hamuwaambii kwamba wamemuumbua mwenyezi mungu na alivyowaumba? wake zenu kila siku mnawapa pesa za saluni.

kutaka kujipendezesha kwa njia zisidhodhuru afya hakuna tatizo. kama miguu membamba na haingii nyama fanya mazowezi ya kuweka mapaja katika shape nzuri na kuyapunguza ili yalingane na mguu wako. hakuna tatizo hata kidogo.
pia kuna mazowezi ya kuyafanya makalio na tumbo yawe katika shape nzuri ili kucompansate na hiyo miguu

all the best
 
kwa mfano huko nyuma umepigwa pasi.je?zoezi gani litanenepesha makalio?
 
kuna dawa ya kichina ya kuongeza supu za miguu nenda kariakoo kuna duka moja la kichina karibu na benki ya Akiba Commercial, pia zipo za makalio, hips na kupunguza tumbo, nywele za bandia na meno ya bandia
 
hapo umesema ameshasikia kuhusu wachina hakuna linaliwashinda, wao wanaangalia Demand ya kitu, then wanakutenegenezea. ila inapoleta madhara usije lalamika ooh! wachina wabaya..... si umehitaji? kwani Mchina na Mungu nani mkubwa!!
otherwise fanya maoezi na chakula kizuri.

Miguu hiyo watu huzaliwa nayo...sidhani kama kuna dawa ya kuifanya ,miguu kama chelewa kuwa kama chuoa ya bia.labda ujaribu zile za kichina..
 
lol
sio hivyo tall..................kama huna kabisa ni suala jengine, lakini wengine wanayo ila shape tu ndo mgogoro. sasa hawa waweza fanya mazowezi kurekebisha shape .....umenielewa sijui!
kwa mfano huko nyuma umepigwa pasi.je?zoezi gani litanenepesha makalio?
 
fanya zoezi la kunyanyua mwili kwa ncha za miguu..mara mia kila siku kwa miezi sita.utaona mabadiliko
 
Naomba ushauri kwa yeyote mwenye idea ya namna ya kuifanya miguu iwe ya bia au inenepe lkn sio kigimbi

Too bad coz for the most part that's determined by genetics. If you don't have the genetics for it you might as well forget about it
 
Back
Top Bottom