Jamani humu ndani nani ameshawah kukutana na Viroja vya mtu mwenye kwato kama za ng'ombe atueleze ilikuaje..? Nimewahi kusikia Madereva tax huwa wanakumbana sana na hii mambo. Au ni uzushi???
Jamani humu ndani nani ameshawah kukutana na Viroja vya mtu mwenye kwato kama za ng'ombe atueleze ilikuaje..? Nimewahi kusikia Madereva tax huwa wanakumbana sana na hii mambo. Au ni uzushi???
Yakufikirika lakini yanatokea aisee! Mimi kuna kitoto kilikua jirani yangu huko mitaa ya kwa aziz ali cha 6yrs kilimuumbua bibi mmoja "We bibi mi leo siendi na wewe kula nyama na kucheza ngoma usiku" mama mtoto kuhamaki anamuhoji mtoto anamueleza wanavyoondokaga, na wanayoyafanya. Alikua ntu wa Ntwala, akampeleka huko kwao sijui ndo kuzindikwa na akamuacha huko2 kwa babu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.