Yaani nuliposoma komenti yako, ikabidi nisome kwanza nipo jukwaa gani... Maana nilishaanza kutupia vya JLW... ikabidi nifute ndo niandike hiviiii... Mauloda ni kufanya mapenzi (lakini we waza ki-JLW)Mauloda ndo chakula gani?
Mauloda ndo chakula gani?
Mauloda ndo chakula gani?
Mauloda ndo chakula gani?
Ukija kuntembelea ntakupikia uonje hicho chakula cha mauloda.....lol.
Kumbe mapenzi ndo mauloda haya poa, mwalimu wangu hakumaliza topic...Yaani nuliposoma komenti yako, ikabidi nisome kwanza nipo jukwaa gani... Maana nilishaanza kutupia vya JLW... ikabidi nifute ndo niandike hiviiii... Mauloda ni kufanya mapenzi (lakini we waza ki-JLW)
Mimi sijaelewa unawuliza or unatuambia.
The issue is very clear
Mauloda ndo chakula gani?
Mauloda ndo chakula gani?
Hujui??? Ni chips za mapapai