Migomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mashambani kwao, Dec 26, 2011.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimekuwa nikifuatilia migomo ya watumishi mbalimbali hapa nchini,sasa naomba kuuliza wakati waalimu wa shule ya msingi,sekondari wanagoma mbona waalimu wa vyuo hawatoi support kwa walimu wenzao?kuna ubaguzi gani?naomba kujifunza kwenu asante.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  mshahara figure 7, akifundisha kipindi buku 50, akisahisha mitihani script moja elfu 5... Sijataja haya maproject ya serikali wanayofanya kila uchao... Wana vipindi vya nje ya vyuo wanavyofundisha.
  Hapo akigoma si atakuwa mzandiki?
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Eh?
  Nimesahau, wale sio walimu, ni wakufunzi na wahadhiri thats why hawako CWT
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mwalimu ni mwalimu tu,haijalish ni wa level gani?
   
 5. N

  NIMIMI Senior Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona tunawaita walimu huku chuo? Ni walimu haijalishi chuo ama nasari. Napita mida hapo chini nawahi kijiwe cha kahawa.....
   
Loading...